Mkuu hii ndoa ni kutimiza agano tu watu wamshagegedanaaaa mpaka wamechokana sasa ndo wameamua kuhalalisha furaha itokee wapi?Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.
Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?
Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.
Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
mkuu hiyo avatar mbn kama mkuu anabebishwa?Hata mke wa trump hataki kushikwa mkono na mumewe hadharani
So ni tabia ya MTU tu
Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app
Ukitaka kupata jibu nenda animoon na pr j atakupa jibu.Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.
Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?
Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.
Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
kama ndo hivyo s namuacha tuHata mke wa trump hataki kushikwa mkono na mumewe hadharani
So ni tabia ya MTU tu
Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app
Umeusikia wimbo wake wa kipi sijasikia?Grid ya taifa
Nilijua mimi peke yangu ndie niliyeliona hilo.Sikupata muda mzuri sana wa kukaa na kutulia kisha niipitie kwa ' umakini ' sana ' Sherehe ' nzima ya Harusi ya Mbunge wa Mikumi Mheshimiwa Msanii Joseph Haule a.k.a Profesa Jay hadi hii leo ambapo nimeweza kuipitia yote na hatimaye ' Kikubwa ' nilichokiona hasa kwa upande wa Mke wa Profesa Jay kiukweli mara zote alionekana ni Mtu mwenye mawazo, kukata tamaa na mara nyingi akilazimisha tu furaha hata pale akina Sugu, Lema na Msigwa walipojitahidi ' kumchangamsha '.
Je Profesa Jay au nyie ' Wageni ' waalikwa mliohudhuria ile ' Harusi ' ni kitu gani labda kilimfanya hadi Bibi Harusi ( Mkewe Profesa Jay ) muda mwingi kutokuwa mchangamfu, kununa na kucheka / kutabasamu kwa kulazimishwa / kujilazimisha?
Nilichofurahi tu katika ' Harusi ' ile ya Profesa Jay hakuna Mtu aliyegoma au kutoka ' Ukumbini ' au hata tu Kurusha Ngumi kama asilimia ( % ) kubwa ya ' Wageni ' waliokuwepo mule walivyobobea Kugoma na Kutoka ' Ukumbini ' katika ' Shughuli ' zingine za Ujenzi wa nchi.
Profesa Jay nasubiri jibu langu tafadhali hata kama upo ' Fungate ' kwa sasa.
Mi nampongoza mhe. kwa kuwa na mke mrembo kidogo sio kama Sugu sijui alimuokota wapi yule dada mmh!