Profesa Jay hongera kwa Kuoa ila mbona Mkeo katika Harusi muda wote alikuwa analazimisha furaha?

Duuuu! Wabongo wafukunyukuuu. Hatariii. Angekuwa hataki, asingepanda madhabahuni.

Arage Jekundu.
 
Wabongo hamkosag cha kusema

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kweli, hata nilipomsoma usoni mdada kuna kitu anasema. Wako wapi wale wanasaikilojia wetu?

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
hongera sana mkuu,kweli watu wanabadilika
 
Dyu tz kupata buku saba raisi sana ...kumbe ata nkipost ivi nalipwaa???

bepari
 
Hayo mambo hayakuhusu ni siri ya familia.

Sent from my Z5 Premium using JamiiForums mobile app
Wengine wana wivu hawa. Walitaka kuolewa wao na Profesa Jay.

Mwanamme mzima ukae chini uangalie harusi nzima ya mwanamme mwenzako ambaye hata hakujui kutafuta cha kukosoa kwa kisa gani?

Hata sie tuliokua naye Profesa Jay Upanga Chini hatukupata muda mchafu huo.

Wengine wanatafuta kuolewa na wanaume wenzao hawa.

Wakiona mwanamme kaoa mwanamke hajawaoa wao wanajisikia wivu sana.

Hakuna jinsi nyingine ya kueleweka ya kutafsiri habari hii.

Mwanamme gani asiyejua hata kuheshimu ndoa ya mwanamme mwenzake?
 
Kwani kuna shida ipi mkuu..wameishi miaka mingi kwenye maisha ya uchumba hiyo juzi kuona hana furaha ndio unahoji?? Interesting
 

Attachments

  • bitmoji-20170705114352.png
    16.2 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…