Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkubwa Dawa, hii ndio lugha ambayo vijana wa mitaa wanaitumia, hasa pale mtu mzima anapofanya jambo la kufurahisha ama kushangaza.
Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea tena Ubunge jimbo la Urambo.
Huyu hapa
Mkongwe Juma Kapuya ametangaza kurejea Bungeni 2025 kwa kugombea tena Ubunge jimbo la Urambo.
Huyu hapa