Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Ndio mataga walivyo wanawaza kuiba tu.Wanasiasa wetu wa hovyo sana.
Maisha yao yote wanawaza kutupiga tu aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mataga walivyo wanawaza kuiba tu.Wanasiasa wetu wa hovyo sana.
Maisha yao yote wanawaza kutupiga tu aisee.
kale ka miaka 25?Huyu dingi hivi kale ka binti alikooa bado anako ama walimpokonyaga.
eee, mzee bado anautamani utamu wa ujana - anajilaumu kuzaliwa mapema.kale ka miaka 25?
Mwane ndio anazambaza vitazbu vya ushogaHivi Athuman Juma Kapuya na Juma Kapuya ni mtu huyo huyo? Au ni ndugu?
kibubu kimekauka anazitaka tenaProf kakumbuka posho, duh!
Hii nchi😂😂😂
Botany/ Sayansi ya mimeaHuyu mzee huwa ni Profesor wa kitu gani?