VMWare-Oracle
JF-Expert Member
- Dec 19, 2021
- 667
- 917
Yu wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameishafariki, alifariki 1982, akiwa na maika 40.Yu wapi?
Mchango wake kwa nchi yake ulikuwa upi?Ameishafariki, alifariki 1982, akiwa na maika 40.
Je alikuwa admitted as an undergraduate?Huyu ndiye mtanzania wa Kwanza kusoma Havard university (Ph.D ya Uchumi)
Havard university ni chuo namba moja kwa ubora duniani, kwahiyo ukiona mtu amesoma hiki chuo muheshimu sana.
"Pr. Justinian F. Rweyemamu (1979-1981) - CODESRIA" Pr. Justinian F. Rweyemamu (1979-1981) - CODESRIAPamoja na usomi wake wa Havard nn kikubwa alitufanyia watanzania tuendelee kujivunia???
Alilipa kodi kipindi cha uhai wakeMchango wake kwa nchi yake ulikuwa upi?
unamanisha kifo hakina msomi au mwenyewe mana bandiko limejieleza aliko kebehi mtaacha liniYu wapi?
"Pr. Justinian F. Rweyemamu (1979-1981) - CODESRIA" Pr. Justinian F. Rweyemamu (1979-1981) - CODESRIAMchango wake kwa nchi yake ulikuwa upi?
Huyu alisoma Havard na siyo oxford, alikuwa admitted masters & Ph.D.Je alikuwa admitted as an undergraduate?
Yasemekana hakuna mtanzania yeyote ama mtu yeyote kutoka Africa mashariki na kati ama maziwa makuu kusoma Oxford university kama undergraduate.
Wapo wachache Sana waliokuwa admitted kutoka Africa kama yule dogo baba yake jamaa wa south Africa alikuwa akimgonga Winnie wakat Mandela akiwa gerezani. Wazee wa ANC walimaindi Winnie kugongwa na kijana mdogo.
Dogo mtata Sana aliratibu maandamano Oxford Sanam ya Cecil Rhodes iondolewe viungani chuon Hadi akashinda. Japo mama yake mzungu anajuta kuwa na damu ya kizubgu
Sijasoma bandiko lote.unamanisha kifo hakina msomi au mwenyewe mana bandiko limejieleza aliko kebehi mtaacha lini
Mpaka sasa sielewi, hapa katikati kitu gani kiliwakuta Wahaya, kwa Tanzania na EA kwa ujumla walitakiwa kuwa mbali sana.Huyu ndiye mtanzania wa Kwanza kusoma Havard university (Ph.D ya Uchumi)
Havard university ni chuo namba moja kwa ubora duniani, kwahiyo ukiona mtu amesoma hiki chuo muheshimu sana.
Justinian F Rweyemamu alizaliwa Katoma Bukoba mkoani Kagera tarehe 23/09/1942.
Mwaka 1958 alijiunga na shule ya St Thomas More college Ihungo iliyokuwa chini ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya masomo ya shule ya msingi, ambapo darasani kwao aliibuka kinara wa darasa. Baada ya hapo mwaka 1961 akapelekwa Marekani Fordham University, ambapo mwaka 1965 alihitimu katika chuo hicho shahada ya kwanza (Bachelor degree in economics, applied mathematics & philosophy).
Mwaka 1971 alihitimu shahada ya uzamivu (Ph.D, thesis 'An Industrial Strategy for Tanzania') Havard university akiwa chini ya fellowship ya Rockefeller foundation.
Akiwa Havard walimu wake walikuwa ni Albert Hirschman, Thomas Weisskopf wataalam wa uchumi duniani.
Rweyemamu pia alihudumu katika chuo kikuu cha Dar es salaam, huku baadhi ya Wanafunzi wake wakiwa Jakaya Kikwete Rais mstaafu wa Tanzania, Benno Ndulu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania mstaafu, Ibrahim Lipumba na Delphine Rwegasira mtaalamu wa uchumi.
Justinian Rweyemamu alifariki tarehe 30/03/1982 NewYork Marekani akiwa na miaka 40 tu.
Huyo ndo Rweyemamu, Muhaya na Mtanzania wa kwanza kusoma Havard university.
Mtanzania mwingine aliyesoma Havard university ni Benjamin Ferdinandez mkurugenzi wa Nala.
Chini[emoji116] ni Picha yake.
View attachment 2289355
Hivyo vyuo Kusoma uwe kichwa kweli kweli au wakuchague wao kwa lengo lao la badae.Je alikuwa admitted as an undergraduate?
Yasemekana hakuna mtanzania yeyote ama mtu yeyote kutoka Africa mashariki na kati ama maziwa makuu kusoma Oxford university kama undergraduate.
Wapo wachache Sana waliokuwa admitted kutoka Africa kama yule dogo baba yake jamaa wa south Africa alikuwa akimgonga Winnie wakat Mandela akiwa gerezani. Wazee wa ANC walimaindi Winnie kugongwa na kijana mdogo.
Dogo mtata Sana aliratibu maandamano Oxford Sanam ya Cecil Rhodes iondolewe viungani chuon Hadi akashinda. Japo mama yake mzungu anajuta kuwa na damu ya kizubgu
Watanzania waliosoma Havard ni wengi tu, na sio lazima uwafahamu wote.Huyu alisoma Havard na siyo oxford, alikuwa admitted masters & Ph.D.
Kusoma hivyo vyuo siyo mchezo ndugu, mpaka sasa kwa Tanzania, watu waliosoma Havard nawafahamu wawili tu, huyu na Benjamin Ferdinandez.
Mkuu ndio siyo mchezo. Ila wengi wanasoma kama postgraduate. Ni nadra Sana havard kusoma kama undergraduate. Wapo ndio admitted havard kama undergraduate Yani straight from A level Equivalent lakini huko kwa bibi Oxford university hamna undergraduate kutoka bongo na maziwa makuu. Kina chenge kipilimba wamesoma Oxford havard kama postgrad.Huyu alisoma Havard na siyo oxford, alikuwa admitted masters & Ph.D.
Kusoma hivyo vyuo siyo mchezo ndugu, mpaka sasa kwa Tanzania, watu waliosoma Havard nawafahamu wawili tu, huyu na Benjamin Ferdinandez.
Pambana ulitimize hilo mkuu.Mkuu ndio siyo mchezo. Ila wengi wanasoma kama postgraduate. Ni nadra Sana havard kusoma kama undergraduate. Wapo ndio admitted havard kama undergraduate Yani straight from A level Equivalent lakini huko kwa bibi Oxford university hamna undergraduate kutoka bongo na maziwa makuu. Kina chenge kipilimba wamesoma Oxford havard kama postgrad.
Ila Kuna kakozi flani ka English as second language nakavizia kanatolewa Oxford one year course hakahitaji masharti kujiunga ila ni pauni za bibi 18k. Nataka nikasome angalau nipate gamba la Oxfodi niwe mtu kati ya watu walioshi na watu na waliona watu.