Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Bila shaka ilikuwa katika kuitumia falsafa ya Mandela:

"If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his own language, that goes to his heart." -- Nelson Mandela.


Asijue kumbe kama nyati waliojeruhiwa, wamasai walikuwa hawana cha mswalia mtume!

Soma Pia: Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi walekea ziarani Ngorongoro
 
wamasai watusaidie translation
 
ni muhimu kwa sisi tusifahamu kimasai, maana inaleta chance ya upotoshaji huku mitandaoni

Unadhani Kabudi msomi nguli wa sheria hakuwa anatembea ki Mandela Mandela?
 
Back
Top Bottom