Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

Nani asiyekujua wewe mfuasi wa mbowe uliyehamia CCM kwa mkopo kisa Kabudi kasoma UDSm uliyosoma wewe.

Nihamie CCM kufanya nini ndugu?

Ukweli wa wazi, watu kama ninyi mnatuletea medali tusiyoipenda nchini na Afrika.
 
Nihamie CCM kufanya nini ndugu?

Ukweli wa wazi, watu kama ninyi mnatuletea medali tusiyoipenda nchini na Afrika.
Nilichogundua kwa hii discussion fupi ,

Ni mweupe sana kichwani.

Kwaheri.
 
Mnaojadili hili mnajadili upumbafu!!
Sijasema nanyi ni nani lkn ninani sasa?

Ujinga ni kipaji.

IMG_20240824_065438.jpg

Bila shaka hii ndiyo medali tuliyopata Olympic Paris kwa aina yenu.
 
Tatizo vitu ambavyo CCM hutoa kama rushwa Masai huwa hawavihitaji:
Ubwabwa huwa hawali.
Kofia huwa hawavai.
T-shirt huwa hawavai.
Khanga huwa hawafungi.
Chumvi huwa hawatumii
Bongo flavor huwa hawachezi.

Masai Tobikoo💪
"Mama Yao Yoyo"😭
 
Makamanda watakuwa wamepata mafunzo kazini (OJT).
 
Tatizo vitu ambavyo CCM hutoa kama rushwa Masai huwa hawavihitaji:
Ubwabwa huwa hawali.
Kofia huwa hawavai.
T-shirt huwa hawavai.
Khanga huwa hawafungi.
Chumvi huwa hawatumii
Bongo flavor huwa hawachezi.

Masai Tobikoo💪
"Mama Yao Yoyo"😭
Ingekua wamakonde au wangoni kumbe issue ingekua ndogo Sana.
 
And the Say its White Man I should Fear..., But its my Own Kind doing all the Killing Here....
 
kama kweli hao watu wanaishi eneo linalopaswa kupisha basi idadi ya watu ni kubwa sana na ngorongoro haiwezi himili, ila naona kuna wamang'ati wachagga na wanyaturu wamejichanganya humo, sio kila mwenye shuka jekundu ni mmasai,

ufanyike utambuzi kujua wamasai wangorongoro halisi ni wapi na wamangati ni wapi ili maamuzi yafanyike kwa usahihi.
 
Hata Kabudi na Makonda walitupia shuka hizo lakini si wamasai
 
Nawewe kama jinga kuu ulitupa point nyingi zaidi 😅.
Unaacha kujadili hoja muhimu unaleta utumbo eti "asokota kimasai" rubbish kabisa yaani matoope (in lisu's voice)

Watu kama wewe mnatupa ushindi huu wengine tusioupenda:

IMG_20240824_065438.jpg
 
Back
Top Bottom