Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

Inasikitisha Sana mtu mzima asiye na njaa ya kijinga halafu msomi akijidhalilisha mbele ya watu.

Wenyewe wanaita uwakili ni kazi.

Hapo yuko kazini kama wakili wa mteja wake.

Kwamba ukimkuta kesho chibatala akimtetea bachite dhidi ya Lissu kushambuliwa Dodoma ndiyo uelewe yuko kazini tu huyo!

johnthebaptist, imhotep au nasema uongo?
 
Hawa Wamasai wa sasa sio kama wale wa zamani, hawa wa sasa wamestaarabika, ingelikuwa ni wale wa zamani Palamagamba Kabudi angekutana na "Mvua ya Mishale"

Kabudi:"...Samia Tobiko!!..."

Wamasai: ..Erro!, hiyo ni Laiyoni..."
bow-arrows.gif
 
brazaj Ulishawahi kuwaona Masai wa miaka ya 80 kurudi nyuma?!

Mkuu mmasai katunza mila zake kama zilivyo.

Kama huamini mwulize Kabudi au alioambatana nao ngorongoro.

Hiyo inaitwa "fighting a lost war."

Hiiiiiiii!
 
Si imeandikwa kwenye misahafu kuwa kwa hakika tutakufa?

Kwani hata sisi tulio hai leo, tuna umuhimu au ubora gani kuwazidi hao waliotutangulia?
Jitoe mhanga boss,usiishie kuandika hapa
 
Inasikitisha Sana mtu mzima asiye na njaa ya kijinga halafu msomi akijidhalilisha mbele ya watu.
Kusoma kwenye ni kujidhalilisha mbele ya watu.....

Msomi aliyeelewa usomi kuwa ni kuwatumikia watu basi hawezi kufanya "ikramu-kujikweza" bali "idhilali-kujidhalilisha-debasement".

Prof.Kabudi ni msomi mwenye kuuishi usomi [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Wamasai wa sasa sio kama wale wa zamani, hawa wa sasa wamestaarabika, ingelikuwa ni wale wa zamani Palamagamba Kabudi angekutana na "Mvua ya Mishale"

Kabudi:"...Samia Tobiko!!..."

Wamasai: ..Erro!, hii Laiyoni..."
View attachment 3077917
Hatuwezi kurudi huko "zamani"...

Madola ya zamani yangepeleka "vifaru" huko yakafanya yale yaliyofanywa "Tianmen Square"...

#Nchi Kwanza[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mnaojadili hili mnajadili upumbafu!!
Sijasema nanyi ni nani lkn ninani sasa?
 
Jitoe mhanga boss,usiishie kuandika hapa

Mkuu bila kujitoa mhanga wamasai hao leo wote wangekuwa Msomera.

Kwa mawazo kama yako, hakuna katiba mpya hapa!

Kwamba wamasai wanafunzo kwa makamanda, haipo shaka uchwara haswa ni nani.

imhotep kutokea zamani ufipa pale au nasema uongo?
 
Back
Top Bottom