Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

Kusoma kwenye ni kujidhalilisha mbele ya watu.....

Msomi aliyeelewa usomi kuwa ni kuwatumikia watu basi hawezi kufanya "ikramu-kujikweza" bali "idhilali-kujidhalilisha-debasement".

Prof.Kabudi ni msomi mwenye kuuishi usomi [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Kama wakili mwaminifu Yuko kwenye kumwakilisha mteja wake.

Ni kama wanaomtetea nyundo tu
 
"If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his own language, that goes to his heart." -- Nelson Mandela.
He was great!!
 
Usifikiri kila mtu ana muda wa kujibizana ujinga kila wakati.

Hata hawa hapa unadhani walikuwa na muda wa kujibizana nawe?

IMG_20240824_065438.jpg
 
Masai ni vionambali,
Atasahau nguo siyo silaha, ni wa kushindana nao hao!!

Somo murua kwa makamanda. Hao laki 1 tu.

imhotep CDM digital mtu ngapi? Wapi katiba mpya?

Wamasai wakabidhiwe chama!
 
Back
Top Bottom