johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakika mkuu!Safi sana. Tunahitaji umoja ili kuijenga Tanzania mpya
whatever, ni haramu!Kinacholiwa ni nyama siyo nguruwe bwashee!
Mwambie Tundu Lisu arudi nyumbani tujenge nchi!whatever, ni haramu!
Hata huko atakwenda bwashee!Nikajua amemtembelea Kamala Haris kumbe jirani yetu Seif!
Lisu si wa Jalalani!Mwambie Tundu Lisu arudi nyumbani tujenge nchi!
Nimekuelewa bwashee lakini serikali haifanyi biashara kwa sababu hailipi kodi bali wanawezesha muuzaji na mnunuzi kukutana katikati.Hili ni jambo jema kabisa.Shida kubwa ni kuwa 'walioshinda" wamejifunza nini katika uchaguzi uliopita?Wana majuto na nia njema ya kurekebisha mambo au wanatafiti mbinu ingine kali zaidi ya kushinda hata pale wasiposhinda?..
Kwani kadigrii kake kakapatia wapi?Lisu si wa Jalalani!
UDSM, SIYO JALALANI ALIKOOKOTWA KABUDIKwani kadigrii kake kakapatia wapi?
[emoji849][emoji849][emoji849] ... USHIRIANO HUO KWIYO!!Waziri wa foreign affairs Prof Kabudi na watendaji wakuu wa wizara yake wamekutana na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar maalim Seif na kukubaliana kuchapa kazi kwa pamoja.
Maalim Seif amesema uchaguzi umekwisha aliyepata kapata na aliyekosa amekosa cha muhimu ni watanzania kuungana pamoja katika kujiletea maendeleo.
Naye Prof Kabudi ameihakikishia serikali ya Umoja wa kitaifa Zanzibar kuipa kila aina ya ushirikiano itakaohitaji ikiwemo kuutangaza utalii wa Zanzibar kimataifa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Prof Kabudi ni mwalimu " mkuu " wa Tundu Lisu!UDSM, SIYO JALALANI ALIKOOKOTWA KABUDI
Ilikuwaje akaokotwa Jalalani? akajiita wa kutoka Jalalani? You might be well informed of this!Prof Kabudi ni mwalimu " mkuu " wa Tundu Lisu!