johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Hata Tundu Lisu akipewa ubunge na uwaziri atarudi mbio Tanzania!Njaa hainaga haramu Retired
mchuzi tu sheikh..Si sahihi kwa muislamu kula nguruwe!
Basi umemaliza kazi! Njaa ya Maalim imehalalisha kula nguruweKwenye baa la njaa kama jangwani waislamu wanaruhusiwa kula nguruwe!
Hahahaaaa...... Ufipa na Kiti moto ni kama uji na mgonjwa!mchuzi tu sheikh..
Maalim Seif ana njaa ya maendeleo!Basi umemaliza kazi! Njaa ya Maalim imehalalisha kula nguruwe
Na kweli lkn huyu kazidi, hana njaa ya hivyo, after all life is coming to an end afadhli kufa na heshima kuliko kufa na UKHNITHI as per his own wordsNjaa hainaga haramu Retired
πππHahahaaaa...... Ufipa na Kiti moto ni kama uji na mgonjwa!
Niongeze mchuzi lete na pilipili na ndimu fanya haraka tunawahi kwenye kikaoHakika mkuu!
kwenda chato ndiko atatoa maendeleo?Maalim Seif ana njaa ya maendeleo!
Mbona una hasira sana? Si mmeenda ICC?kwenda chato ndiko atatoa maendeleo?