Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

Ukiwa na kadi ya ccm lazima akili yako iwe na ubabaifu
Yani una hadhi ya profesa halafu unajidhalilisha hivi sababu ya tumbo!!!
 
tatizo wanataka tujadili vitu ilhali wanajua sisi msimamo wetu ni tofauti kabisa na wao na HATUKO TAYARI KUBADILI MSIMAMO, sasa tukajadili nini!
Si angalao ueleze msimamo wako ili ijulikane wazi, kwani kuna nini cha kuficha au kuhofia?
 
Uongo umekuwa ndio dili la Awamu hii ya laana
Hebu msikilize Mkuu wa Mkoa wa Songwe akisema Tunduma haina mgonjwa hata mmoja wakati Nakonde wanakimbilia 300

Msikilize[emoji116]
Labda ile dawa ya Madagascar au ile ya NIMR imeshafanya yake kule Tunduma,hahah.
 
Ukiona mtu anaongea katoa macho kama mamba fahamu kabisa ni fix

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa mambo ya nje, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.

Huyu Prof Uchwara simsikilazagi tokea atuingize chaka swala la Makinikia na kutapeliwa na wale vijana wa Kenya kwenye swala Korosho....Na hivi katoka kunywa "mataputapu" ya Madagascar atakuwa kachanganyikwa kabisa
 
We nawe unaongea mashudu tu. Ndivyo alivyokutuma bwana andunje wa huko mjengoni?
Kama wewe unatumwa na mabasha wako sio mimi. Mimi ni mtanzania ninaye thamini utu wangu na maslahi ya nchi yangu. Kama wewe unatumiwa na wakoma wako hao endelea kufanya hivyo.

Lakini zingatia kuwa kwenye uhai wangu hakuna kitu kiitwacho EAC katika mipaka yetu. Kama unataka kufumisha EAC kwa conditions zilizopo ningekushauri utafute nchi nyingine. Nenda Kenya au huko Rwanda.

Usiwe juha kijana. Ondoa matongotongo yako usoni. Usiwe limbukeni wa vitu visivyo vyako ukajiona unajua kila kitu. Wewe hujui kitu ni kasuku ambaye ana bwabwaja vitu asivyo vijua. Utauza mpaka back yako kwa kushabikia upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa mambo ya nje, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.

Jalalani si pazuri
 
Mimi sijakuelewa kabisa kwa hiyo Tanzania tumeshajiondoa EAC au unamaanisha nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijakuelewa kabisa kwa hiyo Tanzania tumeshajiondoa EAC au unamaanisha nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya EAC? Huo mkataba na sheria za EAC ziko wapi?

Usifananishe kati ya EAC na na Kanda za EA. Sisi tuko kwenye nchi za kanda ya EA lakini hatuko katika community ya EA. Nitumie hiyo kopi ambayo Rais wetu alisaini ya kuwa member wa EAC baada ya kujitoa 1977.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia panda kabsa kwahiyo Mh Mkapa akusaini??!!! kweli Tz mi mgeni kama ni hivyo nawalaumu walimu wangu wa civics kwa hilo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo umejibu swali langu? Fafanua kwanza maana ya EAC & EA halafu jibu swali langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…