Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si angalao ueleze msimamo wako ili ijulikane wazi, kwani kuna nini cha kuficha au kuhofia?tatizo wanataka tujadili vitu ilhali wanajua sisi msimamo wetu ni tofauti kabisa na wao na HATUKO TAYARI KUBADILI MSIMAMO, sasa tukajadili nini!
Labda ile dawa ya Madagascar au ile ya NIMR imeshafanya yake kule Tunduma,hahah.Uongo umekuwa ndio dili la Awamu hii ya laana
Hebu msikilize Mkuu wa Mkoa wa Songwe akisema Tunduma haina mgonjwa hata mmoja wakati Nakonde wanakimbilia 300
Msikilize[emoji116]
Ukiona mtu anaongea katoa macho kama mamba fahamu kabisa ni fixLeo hii Dr. Vincent Biruta anauthibitishua ulimwengu namna Prof. Kabudi alivyo muongo muongo na mzushi kama sisi wengine tunavyomjua.
Prof. Kabudi alidai kuwa mkutano uliofanyika juzi hauihusu Tanzania bali ni wa northern corridor.
Yeye Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda amesema kuwa Tanzania yenyewe iliomba kutokushiriki mkutano wa wakuu wa EAC huku akidai kuwa Burundi nayo ilisema kuwa ina Uchaguzi Mkuu hivyo haitashiriki mkutano huo.
Prof. acha kuwa muongo. Mtu mzima tena waziri na unadai kuwa umeokoka, uongo haukusaidii.
Waziri wa mambo ya nje, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.
Source ya hii habari iko wapi kwanzaHivi huu uongo uongo huwa wanaufanya kwa faida ya nani?
Kama wewe unatumwa na mabasha wako sio mimi. Mimi ni mtanzania ninaye thamini utu wangu na maslahi ya nchi yangu. Kama wewe unatumiwa na wakoma wako hao endelea kufanya hivyo.We nawe unaongea mashudu tu. Ndivyo alivyokutuma bwana andunje wa huko mjengoni?
Waziri wa mambo ya nje, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.
Mimi naona mjadala huu ufungwe kila mtu atavuna alichopandaKama amesema isivyo stahili,fahamu anazorotesha uwakilishi wa nchi
Na pia diplomacy yetu inakua ovyo
Awamu hii inachanga karata vizuri ila mwisho inatoa boko mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huyu wetu kapitiwa kwa wapi!Mkubwa hadanganyi Bali anapitiwa
Mimi sijakuelewa kabisa kwa hiyo Tanzania tumeshajiondoa EAC au unamaanisha nini mkuuSasa ni kitu gani alichoongopa?
Ndiyo yeye amekataa kwa niaba ya watanzania kushiriki katika mkutano huo. Sasa tatizo ni nini? Hatutaki watatulazimisha?
Kijana usipende kudakia dakia mambo ambayo huyajui kama mashoga wa kisutu. Kabla huja andika upuuzi wako huu jaribu kwanza kuuliza kwanini watanzania au serikali ya Tanzania haiko sharp sana na huo mkutano wa EAC. Waulize wahenga wakufumbue macho kuhusu kuvunjika kwa EAC.
Umejiuliza kwanini Rais Magufuli wakati wa kupokea Dreamliner yetu ya pili alimpa Pilot wetu aliyeiokoa ndege moja ya VC 10 isitaifishwe na wakenya TZs milion 10?
Rais alifanya hivyo kwa kitendo chake cha ushujaa alichokifanya. Kijana soma history.
Baada ya Mzee Jomo Kenyatta kuaga dunia chini ya Rais Arap Moi wakenya walibadilika ghafla na kutuona sisi kama ni maadui zao. Hii chuki walikuwa wamepandikizwa na wafadhili wao; Waingereza, Wajerumani, waholanzi na waamerika kwa sababu ya mfumo wetu wa ujamaa wakati ule.
Ndugu zetu walio kuwa wanafanya kazi kwenye hiyo jumuia ya Afrika Mashariki Mombasa wakenya waliwa damp mpakani bila vitu vyao, masikini! Najua wewe ungefanyiwa hivyo ungewapa hata back yako wakaitia vidole. Wewe ni nyang'au mkubwa sana!
Kwa msimamo huu generation ambayo tumelelewa na Mwalim Nyerere hatuta kubali kuingia makubaliano yoyote ya EAC tena mpaka tumeona wakenya na majirani zetu wengine wako kweli serious na hii issue. Vinginevyo hatutakuwa tunamtendea haki Mwasisi wa Taifa letu tukufu la Tanzania kwa shida alizozipata na hao makachero mpaka zikampelekea kuyaacha madaraka kwa hiari yake mwenyewe.
Sisi tukiondoka kama nyie mtaamua kuiuza nchi yenu, fanyeni hivyo. Lakini sio katika uhai wetu. Tutailinda nchi yetu kwa nguvu zote.
Namshukuru sana Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kutotia sain faster faster wa mkataba wa kufufua EAC.
Katika maisha yangu mpaka sasa sijawahi shuhudia jinsi binadam wanavyo wafanyia binadam wenzao unyama kama wakenya walivyo tufanyia sisi kwenye hili sakata la EAC.
Tuendelee tu hivi hivi na ujirani mwema kwa jinsi itakavyo bidi, lakini kujiingizia tena kwenye mikataba isiyo na uhakika vizazi vya Mwalim Nyerere tunasema No! Nasema tena No! Na tena No! No! No!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala usijhangaishe na huyu taahira wa lumumba. Mwenzako anapokea buku 7 kwa pumba anazopost hapa.Mimi sijakuelewa kabisa kwa hiyo Tanzania tumeshajiondoa EAC au unamaanisha nini mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya EAC? Huo mkataba na sheria za EAC ziko wapi?Mimi sijakuelewa kabisa kwa hiyo Tanzania tumeshajiondoa EAC au unamaanisha nini mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
It is nozen korido.
Njia panda kabsa kwahiyo Mh Mkapa akusaini??!!! kweli Tz mi mgeni kama ni hivyo nawalaumu walimu wangu wa civics kwa hilo.Unajua maana ya EAC? Huo mkataba na sheria za EAC ziko wapi?
Usifananishe kati ya EAC na na Kanda za EA. Sisi tuko kwenye nchi za kanda ya EA lakini hatuko katika community ya EA. Nitumie hiyo kopi ambayo Rais wetu alisaini ya kuwa member wa EAC baada ya kujitoa 1977.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh huyu faza ana macho makali kinoma yan....hata kama ulikuwa na swali la kumuuliza,akikuangalia tuu inabidi unyuti kwanza usikilizie
Sasa hapo umejibu swali langu? Fafanua kwanza maana ya EAC & EA halafu jibu swali languUnajua maana ya EAC? Huo mkataba na sheria za EAC ziko wapi?
Usifananishe kati ya EAC na na Kanda za EA. Sisi tuko kwenye nchi za kanda ya EA lakini hatuko katika community ya EA. Nitumie hiyo kopi ambayo Rais wetu alisaini ya kuwa member wa EAC baada ya kujitoa 1977.
Sent using Jamii Forums mobile app