Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

Irrelevant reasoning.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndiyo utetezi utakaofuta uongo wa Kabudi?

Unaandika gazeti zima halafu limejaa upumbavu mbele ya werevu ?

Hivi unadhani dunia ya leo unaweza kumdanganya mtu kitoto namna hii?

Mwambieni Kabudi na ccm wenzenu huko waliko Tanzania ya leo siyo ya Nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa umetokea kaburi gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kila dalili kuwa hili li-nchi linajiendea tuu kimzobemzobe
Na ndiyo hivyo nchi haina leadership tena inajiendea autopilot.

Na hili kosa alilifanya JK kwa kuifanya tanzania ionekane every Tom and Dick can be the president of the republic.

Leo nchi inafikia rais anaenda kufanyia kazi za umma getoni kwake anaapisha viongozi wa umma bar kweli hii ndiyo Tanzania mpya ?

Mawaziri hawaoni aibu kudanganya umma wazi wazi ndiyo Tanzania tunayoitaka hii ?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kikazi cha Nyerere pia kina watu wajingawajinga na wapumba.vu hivi? Mimi nilijua mambo ni magumu kipindi hiki kwa sababu ya shule za Kata. Wacha kumwaibisha Nyerere.
 
Njia panda kabsa kwahiyo Mh Mkapa akusaini??!!! kweli Tz mi mgeni kama ni hivyo nawalaumu walimu wangu wa civics kwa hilo.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Rais Mkapa ni Rais Kikwete. Unajua lakini maana ya EAC? EAC ipo lakini sio kama ya wakati ule kabla ya 1977. Shilingi ya Tanzania, Kenya na Uganda ilikuwa na thamani moja. Wafanyakazi wa EAC walikuwa na privilege kubwa sana ya kikazi na maisha katika hizi nchi. Tuliishi vizuri kwa kushirikiana na kuaminiana. Tulikuwa na EA Railway, Habour na Ndege. Tulikuwa kitu kimoja mpaka Moi aliposhika madaraka.

Hii EAC ya sasa inakusudia kupanua na kukuza ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa, kijamii na kitamaduni. Hali ya shirikisho inapaswa kuundwa kwa muda mrefu kwa kuunda umoja wa forodha, soko la kawaida na sarafu ya kawaida. Navyo ona mpaka sasa sijaelewa kitu kinacho endelea. Kuto elewana kwingi!!

Taasisi hizo za pamoja ni pamoja na Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kwa ajili ya kuangalia mikataba ya Bunge la Afrika Mashariki kama chombo halali cha kidemokrasia.

Mataifa wanachama lazima zibadilishe sheria zao za kitaifa ili kuruhusu utekelezaji kamili wa nyanja zingine za soko la kawaida, kama vile mamlaka ya uhamiaji na forodha. Sijui kama tayari hilo swala limekuwa implemented.

Wakenya wako Sharp na ardhi yetu ambayo bado kwa asilimia kubwa bado iko mikononinmwa serikali. Wakenya kila kitu wamewauzia wazungu ma wahindi. Hao ndiyo wenye say.

Kitu ambacho Rais Kikwete haja tia saini ni makubaliano ya free movement yaani wakenya kwa mfano wanaweza kaja kwetu ma kuwa rights zote za mshamba kama sisi na kadhalika. Hiyo haiko kwenye mada. Wakija wao wataharibu kila kitu ni hatuwataki. Ni wanafiki hao.

Mimi hata mniambie nini, mkenya sita mwamini hata mara moja mpaka kufa. Kama nyie wazazi wenu hawajawaambia walicho tufanyia, mimi sita sahau kwani ndugu zangu walikuwa sehemu ya watu walio kumbwa na janga hilo la kuvunjika kwa EAC na suluba zote walizo zipata.

Uncle wangu alilia kama mtoto mdogo kwa kupoteza kila kitu alicho kuwa nacho na familia yake wakenya walivyo mdamp mpakani na familia yake kinyama.

Hivi sasa nikisikia tu jina Kenya mwili mzima unasisimka. Nawaona wakenya kama wanyama wakali. Sitaki kabisa kabisa kuwa nao karibu. Hata nikiwa nasafiri kwenda Europe na kurudi Tanzania sipitii Airport yao. Niko radhi kwenda Ethiopia kuliko Kenya. Na wala ndege zao sipendi. Nawaona wanafiki tu.

Nina uhakika iko siku mungu atawalipiza kisasi tu. Wata haha sana. Kwa matendo yao mabaya kwa ndugu zetu na unafiki wao. Waendelee tu kujifanya kuwa wao ni wazungu iko siku watayaona ya wazungu.

Kuhusu mwalimu wako sijui kama anaijua EAC kwa undani wake. Ningekushauri jiongeze wewe mwenyewe!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa mambo ya nje, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.

Professor wa Jalalani amezidi kwa uongo. Halafu ni mtoto wa mchungaji.....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…