Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

mods marekebisho heading EAC
 
Leo hii Dr. Vincent Biruta anauthibitishua ulimwengu namna Prof. Kabudi alivyo muongo muongo na mzushi kama sisi wengine tunavyomjua.

Prof. Kabudi alidai kuwa mkutano uliofanyika juzi hauihusu Tanzania bali ni wa northern corridor.

Yeye Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda amesema kuwa Tanzania yenyewe iliomba kutokushiriki mkutano wa wakuu wa EAC huku akidai kuwa Burundi nayo ilisema kuwa ina Uchaguzi Mkuu hivyo haitashiriki mkutano huo.

Prof. acha kuwa muongo. Mtu mzima tena waziri na unadai kuwa umeokoka, uongo haukusaidii.

Screenshot_20200515-141911_Twitter.jpg
 
tatizo wanataka tujadili vitu ilhali wanajua sisi msimamo wetu ni tofauti kabisa na wao na HATUKO TAYARI KUBADILI MSIMAMO, sasa tukajadili nini!
 
Back
Top Bottom