omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,326
- 2,506
Najua hili suala la aliyekuwa DC wa Hai liko Mahakamani lakini kama ni kweli kwamba accounts zake zilikutwa na billion 3 ni wazi mtu aliyemo au atakayeingia ndani ya serikali lazima atabadilika na kufanana na aliowakuta huko.
Hivi kama DC na kijana mdogo anaweza kuhodhi 3b kwa miaka minne tu, waziri anaweza kulimbikiza kiasi gani?
Kitu ambacho sikujua ni kuwa idadi ya watz wanaoabudu pesa (material possessions) nilifikiri ni wachache lakini kumbe hata tuliowategemea kwa uadilifu wao au umri ni kwa sababu ya maigizo tu, wakishaona ving'aavyo wote wanaufyata.
Umuhiumu wa katiba ni mkubwa hata zaidi ya wakati ule lakini ninachogundua wanaotaka katiba mpya ni wananchi walio wengi lakini wako nje ya serikali. Hivyo tusitarajie mtu aliyemo ndani huko kunga mkono hii movement, hapa ni wananchi wenyewe kusema basi