Profesa Kabudi: Katiba tuliyonayo ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata matatizo!

Profesa Kabudi: Katiba tuliyonayo ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata matatizo!

Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata tatizo kubwa.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hii misukule ya magu hii ndio inatufikisha hapa sijui mizee hii kama itaiona pepo.
 
E5X5CbmXwAQjz78.jpeg

Hapa Prof.Kabudi akiwa mjumbe wa Tume ya Katiba. Akisukuma ajenga za kudai katiba mpya na serikali 3.

E5X5CbNWEAQS0Kh.jpeg

Hapa akiwa waziri wa sheria.

My Take
Hawa jamaa wanatupa taabu sana kuirudisha nchi kwenye reli
 
Tatizo kipindi cha JK watu walikuwa huru sana kiasi cha kuweza kusema hadharani wanawaunga mkono wale majihadist fake wa Kibiti
 
View attachment 1838966
Hapa Prof.Kabudi akiwa mjumbe wa Tume ya Katiba. Akisukuma ajenga za kudai katiba mpya na serikali 3.

View attachment 1838967
Hapa akiwa waziri wa sheria.

My Take
Hawa jamaa wanatupa taabu sana kuirudisha nchi kwenye reli
Hivyo ulitegemea aendelee kudai katiba mpya akiwa kiongozi katika serikali?

Umeshawahi kusikia waziri anauliza swali bungeni? Unafikiri ni kweli mawaziri hawana maswali kwa serikali?

Kabudi yuko sahihi tu, hayuko kwenye nafasi ya kudai katiba
 
Ukiwa ndani ya chama huwezi kufikiri sawa sawa hamwoni katibu mkuu mstafishwa alivyokuwa nje ya chama na alivyokuwa ndani ya chama, na wakienda chama kingine hutamini wanavyo ongea, watz kuna shida kidogo hapo nadhani.
 
Hivyo ulitegemea aendelee kudai katiba mpya akiwa kiongozi katika serikali?

Umeshawahi kusikia waziri anauliza swali bungeni? Unafikiri ni kweli mawaziri hawana maswali kwa serikali?

Kabudi yuko sahihi tu, hayuko kwenye nafasi ya kudai katiba
Angetafuta namna nzuri ya kueleza badala ya kuikataa kabisa katiba maana hata Rais hajasema katiba mpya siyo agenda bali muda ni bado kwakua haikuwa planned for kwa muda huu baada ya mara ya kwanza kuachwa
 
Back
Top Bottom