Profesa Kabudi: Katiba tuliyonayo ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata matatizo!

Profesa Kabudi: Katiba tuliyonayo ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata matatizo!

Kabudi anasumbuliwa na graves disease, ndo maana anatumbuaga mimacho Kama mjusi kabanwa kwenye Mlango

Professional aliyonayo haiendani kabisaa na uhalisia wake!

Yan Baba mtu mzima na family na uprofesa wake, kwa awamu ya sita bado anafanya siasa za kutetea ulaji?!!
 
Sasa Kabudi professor wa jalalani angesemaJe ?! Kama si kusifia chakula yake?

Sehemu zinazolalamikiwa kwenye katiba hiyo mbona hazizungumzii . Wasomi wetu ni tatizo la nchi hii
 
Kuheshimiwa kwa katiba ni utashi wa kiongozi ama katiba ndiyo inayotakiwa kutoa muongozo anayeivunja achukuliwe hatua gani ?
Na huo ndio udhaifu wa katiba iliyopo.

Huyu ni professa pumbav kabisa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Sasa Kabudi professor wa jalalani angesemaJe ?! Kama si kusifia chakula yake ?!

Sehemu zinazolalamikiwa kwenye katiba hiyo mbona hazizungumzii . Wasomi wetu ni tatizo la nchi hii
Huyo msomi wa Family Law, mpuuzi. Mahali ambako huenda angefas zaidi ni kwenye masuala ya jinsia na watoto maana huko ndiko masuala aliyosomea, ya kesi za mirathi na matunzo ya watoto, yaliko.

Mtu mnafiki wa dhamira yake kama Kabudi, ambaye kauli zake zinategemea siku hiyo tumbo lipo wazi au limeshiba, sidhani kama ana msaada woeote kwa Taifa.
 
Anaetakiwa kuongoza katika kuheshimu katiba ni viongozi ambao wameapa kuilinda. Ikiwa wao wanaongoza katika kuivunja iweje Mwananchi aambiwe kuheshimu. Mifano ni mingi. Spika anaruhusu Wabunge wasio na chama kuwepo bungeni. Rais anasuspend sheria ya vyama vya siasa wakati hajatangaza hali ya hatari, anazuia shughulu za kisiasa wakati katiba inatoa kama haki ya Mwananchi n.k. Kabudi amafilisika kitaaluma.
 
Kipindi anapambania katiba mpya hvyo vipengele anavyosema vimeivusha nchi kwenye kipindi kigumu havikuepo?
 
Hilo ni tatizo la kimfumo kwa kabila la wagogo.Hata yule subwoofer wa Bunge mmamuonaje jamani!!!.
 
Ninaomba ile picha ya kijana aliyevaa T-shirt imeandikwa "Kujamba tumeshajamba bado kunya tu"
 
Back
Top Bottom