Profesa Kabudi: Mkutano wa marais 4 wa EAC Tanzania sio mwanachama ni wa Northern corridor

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,896
HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.

Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.

#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.

Hoja:

Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
 
Huo mkutano ulikiwa wa EAC, maana hata communiqué imetolewa na Secretariat ya EAC.
 
Kabudi doesn’t even know how to put a spin on something!

Rais Ramaphosa alisema kabisa kuwa aliwasiliana na Magufuli kuhusu hicho kikao cha SADC.

Sasa huyu Kabudi anaongelea nini hapa?
Serikali inafanya kazi kwa sheria, taratibu na kanuni

Akinunua ndege mnasema hajafuata sheria

Hajapokea taarifa rasmi ya kikao mnasema hajashiriki

Hapa JF kila mtu ni msemaji wa taasisi ya urais
 
HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.

Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.

#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.

Hoja:

Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?

Mkuu communique kuhusiana na mkutano huu na kwa nini Tanzania na Burundi hawakuwapo iko wazi:

"Tanzanian President John Pombe Magufuli and Burundian President Pierre Nkurunziza did not participate in the meeting ostensibly because they have taken a different path in their response to the novel coronavirus."

Tamko lote pia limenukuliwa humu jf:

Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki (EAC) wafanya kikao kujadili Corona. Rais Magufuli na Nkurunziza hawakushiriki - JamiiForums

Hadithi za Kabudi ni porojo zenye msukumo zaidi wa tumbo kuliko ukweli.
 
Kama siyo mwanachama kwanini Ramaphosa ampigie simu Rais na kujibiwa wawasilishe kwa njia ya maandishi ?
Usijihangaishe. Wakati Magufuli anaongea na Ramaphosa, Magu hakuelewa. Ye alifikiri Rama alitaka kuleta mzigo wa mapapai toka Sauzi ampimie korona. Ndio akamshauri alete kwa maandishi.

Ila baadaye ndio ikaeleweka, ikabidi Kabudi aiweke vizuri
 
Back
Top Bottom