Nenda kazungumze wewe Sasa [emoji23]Northern Corridor ndio umoja gani huo? Yaani Kabudi sijui amekuwaje.
"Better remain "silence"?? kiingereza gani hiki?. umedharau mwenzako wakati na wewe ni kilaza zaidi!Wewe unajua lugha ipi?
Kama kiswahili ulichoandika ni shida
"angeonga" ni utumbo gani huu umeandika
"Kingereza" ni takataka gani umeandika
Better remain silence rather than showing your idiotness
Una IQ ndogo sana
Jifunze ustaarabuWewe unajua lugha ipi?
Kama kiswahili ulichoandika ni shida
"angeonga" ni utumbo gani huu umeandika
"Kingereza" ni takataka gani umeandika
Better remain silence rather than showing your idiotness
Una IQ ndogo sana
It seems to me that "Nyani Ngabu," is now in his right state of mind!!?Kabudi doesn’t even know how to put a spin on something!
Rais Ramaphosa alisema kabisa kuwa aliwasiliana na Magufuli kuhusu hicho kikao cha SADC.
Sasa huyu Kabudi anaongelea nini hapa?
Mkuu tuwekee picha ya babaako tumuone alivyo handsome! Ahahahahah!Hili lizee ni liongo basi na ile mimacho linaboa unaweza kulichapa kofi ukiwa karibu nalo!
Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje?Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
jamaa yangu hata wewe hujui kuandika.Mtu mwenyewe kingereza afahamu vizuri. Sijui angeonga nini
Kabudi again
Huyu Prof bingwa wa kupindisha pindisha.HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.
Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.
#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.
Hoja:
Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
😂 Sasa mimi nitazungumza nini labda. Viongozi wanne kati ya sita wa EAC wametoa Communique kama EAC na tena wametumia nembo na headed document ya EAC na kuna video ya sehemu ya mkutano ambayo Kagame anazungumzia ushirikiano wa nchi zote sita za EAC kwenye kupambana na Corona.