Profesa Kabudi: Mkutano wa marais 4 wa EAC Tanzania sio mwanachama ni wa Northern corridor

Profesa Kabudi: Mkutano wa marais 4 wa EAC Tanzania sio mwanachama ni wa Northern corridor

tatizo hii serikali awamu ya 5 inadhani watz woote bado ni majuha, kwamba hatuna uwezo wa kupata taarifa sahihi duniani.

Prof. Kabudi ataishia kuwadanganya wenye uwezo mdg wa akili, pamoja na kwamba wamevaa suti na tai!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabudi ameonesha dharau sana kwa watanzania

Nijuavyo mimi northern na southern corridor zote ni initiatives za EAC. So kutumia logo sio ishu kwa hao wanne sio ishu. Kwa nilivyomuelewa mimi, wahusika hao wa northern corridor walihitaji kujadiliana namna ya kudhibiti corona hasa kupitia usafirishaji unaowahusu madereva toka bandari ya Mombasa so Tanzania na Burundi hazikuwa na ulazima wa kuhudhuria. Japo kwa maoni yangu pamoja na sababu hii walipaswa kuhudhuria kwa kuwa walipewa taarifa.
 
Professor Kabudi is right because Tanzania dont have common goals with its neighboring states known as northern icorridor in thwarting Corona pandemic.
Northern corridor member states Rwanda ,Uganda,Sudan na Kenya wako makini na WHO.
 
Japo ni profesa hajui chochote kuhusu itifaki. Mtu katoka darasani na kuwa waziri hajawai kuwa hata balozi ambapo watu ndo ujifunzia diplomasia. Na ni kwanza ktk itolia ya Tanzania mtu kutoka kuchezea CHAKI na kuwa waziri wa Nje. Ni Tz pekee hauwezi kuta popot duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee bora angebaki tu hapo jalalani aendelee kufundisha sheria

Tangu nizaliwe sijaona jitu ONGO,NAFIKI na POTOSHAJI kama Profesa-fake Pala-magamba Kabudi. Huyo jamaa alitakiwa anyang'anywe vyeti vyote kuanzia Primary mpaka Chuo Kikuu!

Huyu Profesa fake anasahau sasa tuko kwene DUNIA YA DIJITALI NA TEKNOLOJIA kiadi kwamba hakuwezi kutokea tukio duniani and within no seconds kila mtu DUNIANI(not only Tanzania) anakuwa amepata information.

Bunge letu limekuwa Kama Bunge la majuha na kijiwe cha kupiga umbeya(KUSENGENYA WAPINZANI).
Nimesikia michango ya Wabunge CCM wakichangia huku WAKILAANI KITENDO CHA MAJIRANI ZETU KUFUNGA MIPAKA kuwa Ni KITENDO Cha kinyama.....Non-sense!
Kama Tanzania MMESHINDWA kuratibu,kusimamia na kuhakikisha Covid-19 haisambai ndani na nje ya nchi, Nani atawaruhusu MCHUKUE CORONA TOKA TANZANIA NA KUMPELEKEA?
Hakuna ujinga huo kwa wenzetu. Huu Ujinga upo Tanzania ya Magufuli tu!!!!
 
Professor Kabudi is right because Tanzania dont have common goals with its neighboring states known as northern icorridor in thwarting Corona pandemic.
Northern corridor member states Rwanda ,Uganda,Sudan na Kenya wako makini na WHO.

cc: Profedha Ka-Bundi- Minister for Foreign Affairs Tanzania.
 
Back
Top Bottom