wakatanta
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 2,593
- 3,161
Chagua upande Unaona unakufaa,maelezo ya kabudi ni msimamo wa serikali.,HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.
Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.
#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.
Hoja:
Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
Haya ya Zambia vipi?,au hujaisikia ?,si kasoma barua bungeni ?,au kwako hailipi?
Sent using Jamii Forums mobile app