Profesa Kabudi: Mkutano wa marais 4 wa EAC Tanzania sio mwanachama ni wa Northern corridor

Profesa Kabudi: Mkutano wa marais 4 wa EAC Tanzania sio mwanachama ni wa Northern corridor

HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.

Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.

#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.

Hoja:

Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?

Bwana macho anadhani sisi watoto?

Shame on him!
 
Serikali inafanya kazi kwa sheria, taratibu na kanuni

Akinunua ndege mnasema hajafuata sheria

Hajapokea taarifa rasmi ya kikao mnasema hajashiriki

Hapa JF kila mtu ni msemaji wa taasisi ya urais
Kwann apokee au wampe taarifa wakati sio member
 
HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.

Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.

#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.

Hoja:

Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
utetezi mwepesi sana, only fools will be trapped on this!!
 
Huyu mzee nae bora angekaa kimya, huu ni uongo mtupu
Hakuna cha northern corridor,
Kwenye video wakati mkutano unaendelea kinaonekana kiti cha tz kikiwa wazi huku nembo ya bibi na bwana ikidhihirishwa.

Sasa leo huyu mzee anatuona sisi hatunazo,
Nadhani uongo kama huu unaliponza taifa. Credibility ya taifa inashuka.

Rais wangu, piga Mkwara kwa kiongozi yeyote atakaye dhihirika kusema uongo apewe kesi ya usaliti

Uongo ni dhambi.
 
Hakukua na sababu ya kupindisha maneno angesema tu hatujashiriki sababu njia zetu zinatofautiana na zao katika kukabiliana na hili janga basi.
 
Huyu mzee nae bora angekaa kimya, huu ni uongo mtupu
Hakuna cha northern corridor,
Kwenye video wakati mkutano unaendelea kinaonekana kiti cha tz kikiwa wazi huku nembo ya bibi na bwana ikidhihirishwa.

Sasa leo huyu mzee anatuona sisi hatunazo,
Nadhani uongo kama huu unaliponza taifa. Credibility ya taifa inashuka.

Rais wangu, piga Mkwara kwa kiongozi yeyote atakaye dhihirika kusema uongo apewe kesi ya usaliti

Uongo ni dhambi.

Apige mkwara vipi wakati yeye ndo mtoa maagizo.
 
Huyu jamaa katugeuza mambumbumbu, Kagame alisema wazi kabisa kua hata wakiwa wanne na sio wote sita kuhudhuria basi wataendelea hivyo hivyo, ina maana Kagame ni mjinga kujua kua ilikua mkutano wa nchi nne tu?

Huyu profesa ni nyoko, mambo mengine bora wasijibu kuliko kujibu ujinga wanadanganya watanzania utadhani wote tumekua vichaa. Jinga kabisa
 
"Better remain "silence"?? kiingereza gani hiki?. umedharau mwenzako wakati na wewe ni kilaza zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpumbavu, Unafahamu maana ya lugha wewe, unajua Tunapoongelea English tunaongelea mambo mangapi?

Kuna tofauti kubwa kati ya American English na British English

Kuna tofauti kubwa kati ya Irish English na Australian English

Wewe huna exposure yeyote na hujatembea nchi za watu

Madhara ya shule za kata Haya

Umezoea kimya ni quiet

Sasa rudi kasome achana na walimu wako wa shule za serikali hao
 
Prof. Ungetufafanulia, hizo northern corridors ni official regional blocks au ni vijiwe vya kahawa, zaidi ya yote ungetueleza kama Tz ilikuwa na mwaliko, vinginevyo watu hawakuelewi na hueleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.

Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.

#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.

Hoja:

Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
Mijitu yote inajitahidi kuwamijinga kama boss wao
 
BUNGE LAELEZWA SABABU ZA RAIS MAGUFULI KUTOHUDHURIA MIKUTANO​
“Tusiruhusu maadui zetu kutaka kuitingisha Jumuiya ya Afrika Mashariki….wana yaoo…na sisi tusiwe sehemu yao… mkutano ule ulikuwa ni mkutano wa korido ya kaskazini…” - Waziri Kabudi.
Waziri kabudi alieleza Bunge sababu za Rais Magufuli kutohudhuria mikutano
kinachonikera kuna watu wanagonga meza kabisa. siyo sawa kudanganyana kama watoto especially kipindi hiki dhidi ya co19.
siyo kweli mheshimiwa waziri mkutano ule ni wa EAC na kuna maazimio yaliyofikiwa haya hapa chini.
1589432966299.png

  1. THE EAST AFRICAN COMMUNITY HEADS OF STATE, THEIR EXCELLENCIES PRESIDENT PAUL KAGAME OF THE REPUBLIC OF RWANDA; PRESIDENT UHURU KENYATTA OF THE REPUBLIC OF KENYA; PRESIDENT YOWERI KAGUTA MUSEVENI OF THE REPUBLIC OF UGANDA AND PRESIDENT SALVAR MARYARDIT KIIR OF THE REPUBLIC OF SOUTH SUDAN HELD A CONSULTATIVE MEETING OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY HEADS OF STATES THROUGH VIDEO CONFERENCE ON 12TH MAY, 2020. THE HEADS OF STATE MET IN A WARM AND CORDIAL ATMOSPHERE;

  2. THE HEADS OF STATE TOOK NOTE OF THE CURRENT STATUS OF THE OUTBREAK OF THE COVID-19 PANDEMIC IN THE REGION AND COMMENDED THE MINISTERS RESPONSIBLE FOR HEALTH, TRADE, TRANSPORT AND EAC AFFAIRS FOR THEIR INITIATIVE IN ADOPTING A REGIONAL APPROACH TO THE COVID-19 PANDEMIC;

  3. THE HEADS OF STATE RECEIVED THE REPORT OF THE JOINT MEETING OF MINISTERS RESPONSIBLE FOR HEALTH, TRADE, TRANSPORT AND EAC AFFAIRS ON THE EAC REGIONAL COVID-19 RESPONSE AND COMMENDED PARTNER STATES, THE WORLD HEALTH ORGANISATION (WHO) AND AFRICAN CENTRE FOR DISEASE CONTROL (ACDC) FOR THE EFFORTS BEING MADE TOWARDS ADDRESSING THE COVID-19 PANDEMIC, AND THE STEPS TAKEN TO CONTAIN THE DISEASE AND PREVENT FURTHER SPREAD IN THE EAC REGION;

  4. THE HEADS OF STATE DECIDED THAT PARTNER STATES ADOPT A HARMONISED SYSTEM FOR CERTIFICATION AND SHARING OF COVID-19 TEST RESULTS;

  5. THE HEADS OF STATE TOOK NOTE OF THE EAC REGIONAL COVID-19 RESPONSE PLAN AND ITS KEY TARGETED INTERVENTIONS AND DIRECTED THE MINISTERS RESPONSIBLE FOR HEALTH, TRADE, TRANSPORT AND EAC AFFAIRS TO ENSURE THAT IT COMPLEMENTS THE PARTNER STATES’ NATIONAL COVID-19 RESPONSE PLANS;

  6. THE HEADS OF STATE NOTED THAT INFORMATION SHARING IS KEY DURING CRISIS SUCH AS THE COVID-19 PANDEMIC AND DIRECTED THE MINISTERS RESPONSIBLE FOR HEALTH, TRADE, TRANSPORT AND EAC AFFAIRS TO FINALISE AND ADOPT AN EAC DIGITAL SURVEILLANCE AND TRACKING SYSTEM FOR DRIVERS AND CREW ON COVID-19 FOR IMMEDIATE USE BY PARTNER STATES;

  7. THE HEADS OF STATE TOOK NOTE OF EFFORTS BY PARTNER STATES IN UNDERTAKING BILATERAL ENGAGEMENTS TO ADDRESS CROSS-BORDER CHALLENGES AND THE EAC SECRETARIAT MISSION THAT ASSESSED THE SITUATION ON CLEARANCE PROCESSES AT THE BORDERS DURING THE PANDEMIC;

  8. THE HEADS OF STATE NOTED THAT THE REGION’S KEY ECONOMIC SECTORS ARE EXPERIENCING A SLOWDOWN AS A RESULT OF THE COVID-19 PANDEMIC, SUCH AS AGRICULTURE, TRADE, MANUFACTURING AND INDUSTRY, TOURISM, HOSPITALITY AND ENTERTAINMENT AND DIRECTED PARTNER STATES TO PRIORITIZE REGIONAL VALUE/SUPPLY CHAINS TO SUPPORT LOCAL PRODUCTION OF ESSENTIAL MEDICAL PRODUCTS AND SUPPLIES INCLUDING MASKS, SANITIZERS, SOAPS, COVERALLS, FACE SHIELDS, PROCESSED FOOD, VENTILATORS AS PART OF EFFORTS TO COMBAT COVID-19 IN THE REGION;

  9. THE HEADS OF STATE FURTHER DIRECTED PARTNER STATES TO FACILITATE FARMERS TO CONTINUE FARMING ACTIVITIES DURING THIS PANDEMIC AND POST COVID-19 PERIOD, SUPPORT AGRO-PROCESSING AND VALUE CHAINS AS AN IMPORT SUBSTITUTION MEASURE AND ESTABLISH SPECIAL PURPOSE FINANCING SCHEMES FOR SMALL AND MEDIUM ENTERPRISES, TO CUSHION THEM FROM THE NEGATIVE EFFECTS OF THE COVID-19 PANDEMIC;

  10. THE HEADS OF STATE DESIGNATED THE MINISTERS RESPONSIBLE FOR HEALTH, TRANSPORT AND EAST AFRICAN COMMUNITY AFFAIRS TO BE THE FOCAL PERSONS FOR THE REGIONAL COVID-19 RESPONSE UNDER THE LEADERSHIP OF THE MINISTERS OF HEALTH;

  11. THE HEADS OF STATE DIRECTED THE FOCAL PERSONS TO IMMEDIATELY WORK ON A REGIONAL MECHANISM FOR COVID- 19 TESTING, CERTIFICATION AND MONITORING OF TRUCKS DRIVERS AND TO REPORT BACK TO THE HEADS OF STATE;

  12. THE HEADS OF STATE EXPRESSED THEIR APPRECIATION TO DEVELOPMENT PARTNERS FOR THEIR CONTINUED SUPPORT, PARTICULARLY DURING THIS PERIOD OF THE COVID-19 PANDEMIC;

  13. THE HEADS OF STATE AGREED TO MEET REGULARLY TO ADDRESS THE RESPONSE EFFORTS AND EXPRESSED THE NEED FOR FLEXIBILITY IN THE APPLICATION OF THE EAC RULES AND PROCEDURES WHEN FACED WITH A CRISIS SUCH AS THE COVID-19 PANDEMIC;

  14. THEIR EXCELLENCIES PRESIDENT UHURU KENYATTA OF THE REPUBLIC OF KENYA, PRESIDENT SALVAR MARYARDIT KIIR OF THE REPUBLIC OF SOUTH SUDAN AND PRESIDENT YOWERI KAGUTA MUSEVENI OF THE REPUBLIC OF UGANDA THANKED THE CHAIR OF SUMMIT, HIS EXCELLENCY PRESIDENT PAUL KAGAME OF THE REPUBLIC OF RWANDA FOR CONVENING A WELL ORGANIZED MEETING IN A CORDIAL ATMOSPHERE AND REQUESTED THAT SUCH MEETINGS BE HELD REGULARLY.

  15. DONE BY VIDEO CONFERENCE AND DATED THIS 12th DAY OF MAY 2020.
......…………………….......…………………….......…………………….......…………………….
H.E. PAUL KAGAMEH.E.UHURU MUIGAI KENYATTAH.E. SALVA KIIR MAYARDITH.E. YOWERI KAGUTA MUSEVENI
PRESIDENTPRESIDENTPRESIDENTPRESIDENT
REPUBLIC OF RWANDAREPUBLIC OF KENYAREPUBLIC OF SOUTH SUDANREPUBLIC OF UGANDA





Media contacts
Mr Simon Peter Owaka
Senior Public Relations Officer
Tel: +255 (0)27 216 2100
Ext. 11130
Email: [email protected]
Mr Florian Mutabazi
Media Coordinator
Tel: +255 (0)27 216 2100,
Ext. 11130
Email: [email protected], or [email protected]

Maswali yangu ni kwamba kama ni kweli mh kabudi alitaarifiwa hivyo basi kwa makusudi EAC wameshagundua kuwa hatupo serious na wameamua kusimamia hili suala wenyewe kwa manufaa ya wananchi wao baada ya kugundua sisi tunalegalega.
kwann kila kitu kihusishwe na maadui?...hivi ni kwann kila siku tunasema tuna maadui?...ifike mwisho hao maadui watajwe tuwajue...kwann tuna viongozi wenye fikra za karne ya tano???..bado kidogo viongozi hawa hawa wataanza kutuambia tumelogwa...na sasa twende kwa waganga.
Kwahiyo kila Mtu kwa Utawala huu ni Adui? Nani sasa basi sio Adui km hata Wenzetu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki nao pia ni Maadui wetu?
HUU NI UTHIBITISHO WA WAZI KABISA KUWA ULE NI MKUTANO WA EAC LEADERS NA SIYO NORTHEN CORRIDOR KAMA MH KABUDI ALIVYOLITAARIFU BUNGE LETU TUKUFU.
HII NI OFFICIAL STATEMENT KWA WAKENYA WOTE
HII NI OFFICIAL STATEMENT KWA WARWANDA WOTE.

HII NI OFFICIAL STATEMENT KWA WANAJUMUIYA WOTE.
COMMUNIQUÉ: HEADS OF STATE CONSULTATIVE MEETING OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI JUMUIYA AFRICA YA MASHARIKI

 
Back
Top Bottom