Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Huo mkutano ulikiwa wa EAC, maana hata communiqué imetolewa na Secretariat ya EAC.HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.
Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.
#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.
Hoja:
Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
Wewe unajua lugha ipi?Mtu mwenyewe kingereza afahamu vizuri. Sijui angeonga nini
Serikali inafanya kazi kwa sheria, taratibu na kanuniKabudi doesn’t even know how to put a spin on something!
Rais Ramaphosa alisema kabisa kuwa aliwasiliana na Magufuli kuhusu hicho kikao cha SADC.
Sasa huyu Kabudi anaongelea nini hapa?
Kabudi ni Propesa, ni ngumu sana kumuelewa Propesa ukitumia akili ya kawaidaKabudi doesn’t even know how to put a spin on something!
Rais Ramaphosa alisema kabisa kuwa aliwasiliana na Magufuli kuhusu hicho kikao cha SADC.
Sasa huyu Kabudi anaongelea nini hapa?
Hii dunia ina vituko.Huo Ndio ukweli
Hili lizee ni liongo basi na ile mimacho linaboa unaweza kulichapa kofi ukiwa karibu nalo!
HII NDIYO SABABU RAIS MAGUFULI HAKUHUDHURIA MKUTANO WA JANA WA NCHI NNE NA SADC: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Palamagamba Kabudi amelieza Bunge kuwa, mkutano uliohusisha nchi Nne jana pamoja na SADC ni mikutano ambayo Tanzania siyo mwanachama wake.
Waziri Kabudi amesema, mkutano huo wa nchi nne ulioitishwa jana ni mkutano wa 'northern corridor' ambao Tanzania siyo sehemu ya kundi hilo na kwamba walikuwa na taarifa.
#umojawamataifa #kabudi #mkutanowanortherncorridor #bungeni #wizarayamamboyanje #masualayadiplomasia.
Hoja:
Mbona walitumia logo ya jumuiya ya afrika mashariki na sio hiyo kabudi anayotaka tuamini?
Usijihangaishe. Wakati Magufuli anaongea na Ramaphosa, Magu hakuelewa. Ye alifikiri Rama alitaka kuleta mzigo wa mapapai toka Sauzi ampimie korona. Ndio akamshauri alete kwa maandishi.Kama siyo mwanachama kwanini Ramaphosa ampigie simu Rais na kujibiwa wawasilishe kwa njia ya maandishi ?