Profesa Kabudi: Mkutano wa marais 4 wa EAC Tanzania sio mwanachama ni wa Northern corridor

Professor Kabudi is right because Tanzania dont have common goals with its neighboring states known as northern icorridor in thwarting Corona pandemic.
Northern corridor member states Rwanda ,Uganda,Sudan na Kenya wako makini na WHO.
huyu mzee anadanganya bungeni siyo kweli hakuna chochote kinahusu korido. soma hayo maazimio ya EAC yote huyu baba anapiga sound hapo tu. mkutano huu ulihusu kujadili kuhusu janga hili la korona kwa kanda yetu ya EA. mbaya zaidi hiki alichokisema hapa ndo anaenda mwambie mzee kule chato. msikilize rais wa rwanda anachokizungumza kwenye hiyo meeting
 
Tanzania ya Professor Kabudi hakubaliani jinsi nchi hizo zinavyoshughilikia mapambano ya Corona.
Ndio sababu kuu ya Tanzania kubaki watazamaji badala ya kuwa wachezaji.
 
Kama siyo mwanachama kwanini Ramaphosa ampigie simu Rais na kujibiwa wawasilishe kwa njia ya maandishi ?
Hahahaha, km vipi Rama afungue WhatsApp group la marais SADC, then waache maandishi ( chatting) ,labda wangeenda sawa
 
Natamani hili jamaa lifie huko kwao lilikojificha,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unajua lugha ipi?

Kama kiswahili ulichoandika ni shida

"angeonga" ni utumbo gani huu umeandika

"Kingereza" ni takataka gani umeandika

Better remain silence rather than showing your idiotness

Una IQ ndogo sana
Kumbe mna hasira, jaribuni kujibu hoja kwa hoja. Wewe ungemuwekea clip bro akipa kiingereza ili uummalize ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumtetea mchato ni kazi sanaaaa inaitaj nguvu ya miujiza 🤣🤣🤣
 
Kabudi doesn’t even know how to put a spin on something!

Rais Ramaphosa alisema kabisa kuwa aliwasiliana na Magufuli kuhusu hicho kikao cha SADC.

Sasa huyu Kabudi anaongelea nini hapa?
Waliobaki mjengoni walimshangilia sana kwa kuweka mambo sawa maana suala lilipotoshwa na vibaraka wa mabeberu.
 
Kabudi ni Mpuuzi sana😀
 
dose ya madagascar ishaanza kumuathiri muheshimiwa. Ukute imechanganywa na ndumu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…