Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

Njombe kuna biashara gani ukiondoa biashara za " mwakipande" pale Makambako walikojazana wakinga na baba yao Jah people?

Geita katika ujumla wake itagrow hata kama wewe hupendi.

Unataka kulinganisha Chaugingi na Chato?

Bure kabisa!
 
Oh my beautiful tz the then once learned ps are now total lunatics cum boot lickers. Stupid! Do we have any dependable free thinking tanxanian left???
 
Fa fe fi fo .... in
 
Hoja yako wewe tuendeleze makosa ya akina Sumaye?Hoja ni kweli kwamba kuna tija kwa taifa kuwekeza huko?
 
Matumizi mabaya ya madaraka basi na si vinginevyo leo BUTIAMA ingekuwa jiji,ZANZIBAR ingekuwa makao makuu ya nchi ya Jamhuri ya Tanzania,Lupaso ingekuwa jiji,Msoga ingekuwa Mkoa hapo ni kwa marais je mawaziri wakuu ingekuwaje?
 
Yeye anawasemea wataanza kama nani? Amewafanyia lini mahojiano kujua mawazo yao kuwa kila mtanzania anaipenda chato?
 
Chatou International Airport
 
Hoja yako wewe tuendeleze makosa ya akina Sumaye?Hoja ni kweli kwamba kuna tija kwa taifa kuwekeza huko?
Kosa lipi hapo limetendwa!weka data,tutumie data kusema Kuna kosa lipi hapo,je miradi ingejengwa mtambaswala Lindi kungekuwa na kosa?
Au je ingejengwa Kyelwa Kagera je?au ijengwe Manyara Kiteto!?wapi ikijengwa kila mwananchi ataridhika na kusema hapa Hili lina maslahi kwa nchi nzima,
Wapo watu wanasema SGR,Madege ya ATCL hata bwawa la Nyerere la kufua umeme havina tija,ni matumizi mabaya ya pesa,inategemea unaangalia kutokea wapi.
Serikali hii inamatumizi mabaya ya pesa,na upendeleo,ukabila,sikatai.
Swali je,ajenge wapi ambapo wananchi hawatapiga kelele,afanye mradi upi ambao kila mbongo ataridhika?Hapa Ni Nyerere tu aliweza,
Viongozi wote waliotawala nchi hii kwa namna yoyote ile walipendelea maeneo wanayotoka,na hili halitaisha leo,hii ni dalili ya tatizo/Ugonjwa,tusishambulie dalili,tupambane na Ugonjwa,
Hata huko chato kila mtu anaweza kwenda kuwekeza
 
Tanzania aliyoitaja Kabudi ni ipii..!? Au tamaa za mtu mmoja zimekua za Taifa..!!?

How did he become a professor anyway!!?
He become a professor because of elimu ya kununua[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ( leo na mimi nimekomenti kiingereza jf raha saana)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa tangu atolewe majalalani na babake basi ni shidah tupu..!!
 
Kama majiji ya Dar es Salaam na Mwanza tu yameshindwa kuifikia miji midogo ya China kama Macau na Chongqing,Leo hii mji mdogo wa Chato utaweza(ndani ya miaka hii 4 iliyobakia ya mheshimiwa akiwa madarakani)?
Hizi ni ngano na vigano.
@pilipili--mbuzi
Macau na Chongqing sio miji midogo, hapo umetaja miji yenye uzito kama Dallas au Doha hivi hiyo miji umetaja ni mizuri mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…