johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Njombe kuna biashara gani ukiondoa biashara za " mwakipande" pale Makambako walikojazana wakinga na baba yao Jah people?unadhani factors za Bagamoyo ni sawa na za huko? Bagamoyo iko Kilomita ngapi toka Dsm? Njombe tu yenyewe haijakua pamoja na kua na Business nyingi then utuambie hiyo cheto iwe kama miji ya China eti kwa kujengwa na mtu mmoja tu kwa mamlaka.Kukua kwa mji kuna hitaji mambo mengi sana.Miji ya china imekuzwa na Private Sector tofauti na tunavyoaminishwa kua China Goverment ni kila kitu.private-Western Entities zimeikuza china.
Geita katika ujumla wake itagrow hata kama wewe hupendi.
Unataka kulinganisha Chaugingi na Chato?
Bure kabisa!