Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Akiingia Rais kutoka huko Tandahimba kijijini chitoholi,naye aanze mkakati wa kuifanya Chitoholi kuwa jiji?ha ha ha mara ya mwishom kufika Njombe ni lini.Mkuu tunaizungumzia Chato sio Geita in General
Jiji la ny@koooProfesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Njombe hiyo hiyo ya Idundilanga Chaugingi, Mpechi, Iyelevala, Zengerendete, Kwa Ramadhani, Ruhuji, Kibena, Wangama, Mtwango, Ikelu nk nk!ha ha ha mara ya mwishom kufika Njombe ni lini.Mkuu tunaizungumzia Chato sio Geita in General
Mwenye macho haambiwi tazama.Una ushahidi bwashee?
Thank you for the evening[emoji23][emoji23]Ure welcome!
Kwanini sii TanzaniaProfesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Tanks. Cheers too[emoji127]Thank you for the evening[emoji23][emoji23]
[emoji1635][emoji1635]
Sahau kabisa hayo maendeleo ya kumuomba mabeberu. Tunajidanganya. Angalia hiyo video:Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Sidhani kama umewaza kwa kutumia kichwa, na kwavile mawazo yenu yame egemea hasi kwa kila kitu basi huwezi kumuelewa kabudi anachomaanisha.Tanzania aliyoitaja Kabudi ni ipii..!? Au tamaa za mtu mmoja zimekua za Taifa..!!?
How did he become a professor anyway!!?
Jamani hapa sio MMU!Maana naona mnakoelekea mtaanza kutongozana hapa!Thank you for the evening[emoji23][emoji23]
[emoji1635][emoji1635]
Waiweke kwenye Katiba kabisa.Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Tanzania ni jiwe.
Anatamani chato iwe kama majiji makubwa ya china ila ndo hivyo hakuna namna anakuna panapokunika.
Anajitutumua kuipendelea chato kadri awezavyo.
Nna uhakika bandari ya Bagamoyo ingekua chato angekubali ijengwe haraka sana.
Mabadiliko ya kiuchumi yataletwa na Chatoππππ!Sidhani kama umewaza kwa kutumia kichwa, na kwavile mawazo yenu yame egemea hasi kwa kila kitu basi huwezi kumuelewa kabudi anachomaanisha.
Na kama wewe ni msimi pia ni kijana basi nchi hii hatuna watu wa kuleta mapinduzi ya kiuchumi na mabadiliko ya nchi, mara nyingi mnawaza matumbo yenu yashibe kwanza.
Na ndio maana hamkosi vitambi wakati uhakika wa maisha ni mdogo.
Si wote tuna mawazo hayo mkuu wangu nitake radhi.Jamani hapa sio MMU!Maana naona mnakoelekea mtaanza kutongozana hapa!
Samahani!Si wote tuna mawazo hayo mkuu wangu nitake radhi.
Hayo ni mawazo yako tu, wewe ulitaka wapi pawe beijing tofauti na chato?Mabadiliko ya kiuchumi yataletwa na Chatoππππ!
Ngoja tuone hiyo Chato ikiwa Beijing!
Kigoma tuliahidiwa itakuwa kama Dubai!Mmmmmh kilichotukuta tunakijua wenyewe!Hayo ni mawazo yako tu, wewe ulitaka wapi pawe beijing tofauti na chato?