Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

ha ha ha mara ya mwishom kufika Njombe ni lini.Mkuu tunaizungumzia Chato sio Geita in General
Akiingia Rais kutoka huko Tandahimba kijijini chitoholi,naye aanze mkakati wa kuifanya Chitoholi kuwa jiji?
Utaratibu huo ukiendelea tutafika?
Halafu eti utasikia JPM kabeba maono ya mwalimu Nyerere,shwain!
 
Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.

Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.

Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.

Chanzo: Upendo tv

Maendeleo hayana vyama!
Jiji la ny@kooo
 
ha ha ha mara ya mwishom kufika Njombe ni lini.Mkuu tunaizungumzia Chato sio Geita in General
Njombe hiyo hiyo ya Idundilanga Chaugingi, Mpechi, Iyelevala, Zengerendete, Kwa Ramadhani, Ruhuji, Kibena, Wangama, Mtwango, Ikelu nk nk!

Juzi nilikuwa hapo Njombe mnapopaita mjini kwa Widambe!
 
Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.

Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.

Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.

Chanzo: Upendo tv

Maendeleo hayana vyama!
Kwanini sii Tanzania
 
Sahau kabisa hayo maendeleo ya kumuomba mabeberu. Tunajidanganya. Angalia hiyo video:

Tanzania aliyoitaja Kabudi ni ipii..!? Au tamaa za mtu mmoja zimekua za Taifa..!!?

How did he become a professor anyway!!?
Sidhani kama umewaza kwa kutumia kichwa, na kwavile mawazo yenu yame egemea hasi kwa kila kitu basi huwezi kumuelewa kabudi anachomaanisha.
Na kama wewe ni msimi pia ni kijana basi nchi hii hatuna watu wa kuleta mapinduzi ya kiuchumi na mabadiliko ya nchi, mara nyingi mnawaza matumbo yenu yashibe kwanza.
Na ndio maana hamkosi vitambi wakati uhakika wa maisha ni mdogo.
 
Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.

Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.

Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.

Chanzo: Upendo tv

Maendeleo hayana vyama!
Waiweke kwenye Katiba kabisa.

Chato oyeeee.

Ila ingetakiwa Bunge lihamishiwe chato
 
Pia anang'ata na kupuliza eti ameiombea msaada iringa na Zanzibar ili isionekane ana uchatomiasis
Tanzania ni jiwe.

Anatamani chato iwe kama majiji makubwa ya china ila ndo hivyo hakuna namna anakuna panapokunika.

Anajitutumua kuipendelea chato kadri awezavyo.

Nna uhakika bandari ya Bagamoyo ingekua chato angekubali ijengwe haraka sana.
 
Sidhani kama umewaza kwa kutumia kichwa, na kwavile mawazo yenu yame egemea hasi kwa kila kitu basi huwezi kumuelewa kabudi anachomaanisha.
Na kama wewe ni msimi pia ni kijana basi nchi hii hatuna watu wa kuleta mapinduzi ya kiuchumi na mabadiliko ya nchi, mara nyingi mnawaza matumbo yenu yashibe kwanza.
Na ndio maana hamkosi vitambi wakati uhakika wa maisha ni mdogo.
Mabadiliko ya kiuchumi yataletwa na Chato😁😁😁😁!
Ngoja tuone hiyo Chato ikiwa Beijing!
 
ni wazo zuri by the way huwa hivo hivo kwaaeneo meng yenye shughul za uvuvi,kwa mfano hapa Korea kusin,miji yenye shughul za uvuvi imeendelea saana kwa kufanya shughul za uvuvi,hata peking pia.
sion vibaya,nampongeza waziri wa foreign ni kweli miji yenye water bodies inapaswa iwe attracted ya shughul mbalimbali za uchumi
 
Hayo ni mawazo yako tu, wewe ulitaka wapi pawe beijing tofauti na chato?
Kigoma tuliahidiwa itakuwa kama Dubai!Mmmmmh kilichotukuta tunakijua wenyewe!
Nways Rais ajaye naye aamue kupafanya kijijini kwake pawe kama Beijing!Na ajaye hivyo hivyo!
Mwisho wa siku tutakuwa na viwanja vya ndege vijijini kuliko mijini!Vingi vitaota nyasi!
Baada ya JPM kustaafu,Chato inasahaulika!
 
Back
Top Bottom