Zamani ukisikia Profesa, tulikuwa tunaamini kuwa ni lazima atakuwa na akili, kumbe tulikuwa wajinga.Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Kawa sababu gani. Kwani China na rafiki na Chato au na Tanzania?Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Chato? Tye tye tye itageuka chatuProfessor wa majalalani na ubora wake wa kujipendekeza.
Kwani Chato haiko Tanzania?!Kawa sababu gani. Kwani China na rafiki na Chato au na Tanzania?
Ndio umeshacomment bwashee!Dah, hamna hata haja ya ku-comment
Mkuu open your eyes-:Chato inakitu gani cha kuifanya iwe jiji, labda kama kwa kuchezea fedha za walipa kodi kwa kujenga majengo yasiyo na matumizi,kuofoce business zisizo wezekana ama kuhamishia makao makuu ya nchi kwa miaka minne ijayo.Baada 2025 habari za chato zitaisha labda wafoce namba 1 atoke hapo hapo
ChokoraaTanzania aliyoitaja Kabudi ni ipii..!? Au tamaa za mtu mmoja zimekua za Taifa..!!?
How did he become a professor anyway!!?
Unajua December pesa inayopelekwa kaskazini wakati wa sikukuu inapeleka kule kuwe na mzunguko wa fedha mkubwa sana.hii inawapa watu wa kaskazini fursa yakuendeleza maeneo yao.maendeleo wanajipelekea wenyewe.Ww jamaa una chuki sana na kaskazini,hujaona miji mingine kama Mwanza,Mbeya au hata Dodoma? Unajikomba sana punguza usoro bas
Ktk maisha yangu ya ufahamu wa kiutu uzima, sijawahi sikia, ona kiongozi bora kutoka kilosa zaidi ya mzee shaweji.Professor wa majalalani na ubora wake wa kujipendekeza.
Kama ni kweli kayasema haya basi huyu proffesa ni mnafiki wa kutisha , wa kuogopwa.Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.
Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.
Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.
Chanzo: Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Yeah chato ni sehemu ya Tanzania lakini Tanzania sio chato!Kwani Chato haiko Tanzania?!
Inawezekanaje? wewe Professor, halafu unafikiri na kutoa maneno kama std III, e.g. kabudi bashiru!hahahahahahah aliejuu anaona