Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

Kama Lengo la Tanzania Chato iwe Kama majiji Makubwa ya China.

Ni Rahisi Sana .
Kabudi aje aombe ushauri tu.
 
Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.

Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.

Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.

Chanzo: Upendo tv

Maendeleo hayana vyama!
Zamani ukisikia Profesa, tulikuwa tunaamini kuwa ni lazima atakuwa na akili, kumbe tulikuwa wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakipenda hata nchi ibadilishwe iitwe chato! Kama ilivyokua Zaire kipindi kile
 
How can i made a city some where?.............
Populations of ppls
fast money rotating area
economy activities
Nyerere zamani alifanikiwa sana kuwapeleka watu kibugumo na gezaulole
 
Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.

Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.

Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.

Chanzo: Upendo tv

Maendeleo hayana vyama!
Kawa sababu gani. Kwani China na rafiki na Chato au na Tanzania?
 
Chato inakitu gani cha kuifanya iwe jiji, labda kama kwa kuchezea fedha za walipa kodi kwa kujenga majengo yasiyo na matumizi,kuofoce business zisizo wezekana ama kuhamishia makao makuu ya nchi kwa miaka minne ijayo.Baada 2025 habari za chato zitaisha labda wafoce namba 1 atoke hapo hapo
Mkuu open your eyes-:
1.Chato ina International Air port wamejenga 3 km Air strip hata Space shuttle inaweza ikatua.
2.Chato imejengwa CRDB bank branch yenye mtaji mkubwa ,wanasema 600 B
3.Chato kuna Animal slaughter house ya wachina kupeleka nyama for export by air.
4.Museveni amejenga International school pale.
5.Chato kumejengwa Chuo kikubwa cha Veta.
6.Chato panajengwa Chuo kikuu.
7.Chato panajengwa Hospitali ya rufaa kanda ya ziwa.
8.Chato imepanuliwa bandari meli size zote za ziwa Victoria zinafunga gati hata Mv Mwanza
9.Mbuga za wanyama wa nchi kavu na ziwani zimeboreshwa.
10.Chato hakuna nyumba ya nyasi labda hoteli ya kitalii.
11.Chato wanajenga 3,4,5 five stars hotels nyingi na za kisasa.
12.Chato wamejenga smelting plant ya dhahabu.Pia kuna gold auction market.
13.Substation ya umeme kutokea umeme wa hydropower kutokea Rusumo inajengwa Chato
 
Ww jamaa una chuki sana na kaskazini,hujaona miji mingine kama Mwanza,Mbeya au hata Dodoma? Unajikomba sana punguza usoro bas
Unajua December pesa inayopelekwa kaskazini wakati wa sikukuu inapeleka kule kuwe na mzunguko wa fedha mkubwa sana.hii inawapa watu wa kaskazini fursa yakuendeleza maeneo yao.maendeleo wanajipelekea wenyewe.
 
Mungu asipoingilia kati TZ naiona ktk ukanda uliopindukia au ssm kuitawala nchi mpaka ukamilifu wa dahari.
 
Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato.

Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya Tanzania na China hilo linawezekana kabisa.

Profesa Kabudi na waziri Wang Yi walikuwa wanaongea na waandishi wa habari leo hii Chato mkoani Geita.

Chanzo: Upendo tv

Maendeleo hayana vyama!
Kama ni kweli kayasema haya basi huyu proffesa ni mnafiki wa kutisha , wa kuogopwa.
 
Kama Waziri ametamka hayo anafaa kutumbuliwa amemkebehi Baba wa taifa la tanzania Mheshimiwa JPM.
 
Back
Top Bottom