Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kipindi cha kikwete walikuja na wakafuatiwa na wamarekani wakiongozwa na Obama.Prof Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi.
Source Eatv habari!
Maendeleo hayana vyama!
Atakuwa anakuja kuchukua misaada. We are a donor country.Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi.
Chanzo: Eatv habari!
Maendeleo hayana vyama!
Ni swala la muda tu mkuu usemayo kutimia.
Sisi tunasema 5 tena 5 tenaMwisho wa siku atatununua kama mitumba
Hongereni sana
Umekuwaje ndugu? umeanza kutumiwa na wapinga Maendeleo?Ushauri wangu, kama hamko tayari kudungwa sindano ya ,,kinga ya covid” kuweni waangalifu sana na Wachina msije kuingia mkenge, ...
Akiondoka wa Burundi atakuja wa Ubelgiji!Akiondoka huyu anakuja Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Burundi.
Mikusanyiko imepigwa ban kiaina maana covid inazidi kuwang'oa tena wale wa meza kubwaTanzania hakuna corona, kwa sababu 'mungu' wetu anatupenda sana.
China wameidhibiti corona kwa vile wamesimamia na kufuata taratibu zote za kitaalam kudhibiti maenezi ya ugonjwa huo.
Sijui kama na wao ni 'Mungu' wao ndiye aliyewaelekeza kufuata taratibu hizo na kufanikiwa?
Ingependeza sana kama waandishi wetu wa habari wangemuuliza mgeni wetu kuhusu hilo.
Sasa basi, wanachosubiri kwa hamu waTanzania ni kumwona mgeni wetu na msafara wake wakitutia matumaini juu ya uwezo wa 'mungu' wetu.
Hawa watu watachanganyika nasi wakiwa hapa na wala hawataparamia ma BARAKOA?
Kabuti Mlamaganda, usiwafiche wageni wetu, ikiwezekana walete hadi huku kwetu ndani ya DALADALA zetu.
Karibu sana wageni wetu, ndani ya nchi hii yenye 'mungu' wa kipekee kabisa.
Low IQAkiondoka wa Burundi atakuja wa Ubelgiji!
Hahahaaaa...... IQ kubwa anayo Halima James Mdee kiboko ya Ufipa!Low IQ
Ngoja nikwambie kitu.Akiondoka huyu anakuja Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Burundi.
Iendelee huko huko, isituonee sisi wanyonge.Mikusanyiko imepigwa ban kiaina maana covid inazidi kuwang'oa tena wale wa meza kubwa
SGR on the move.
Mchina Domo la Mamba.
Ukishakosana na Mzungu, unakuwa huna alternative yeye anakuja na terms zake mezani.
Kwisha kazi. Hakuna ujanja tena
Mataga wanafikili tumeshasahau,Anaipenda Tanzania kwa waziri wa China kuja? Alikuja rais wa China, mbon hakuna lolote la maana?