Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

Waziri alijipanga vizuri kujibu maswali.
 
Sielewi unazungumzia kitu gani hapa.

Kwa nini unadhani Mwalimu Nyerere aliiga China hivyo vitu. Wewe unadhani Mwalimu Nyerere hakuwa na akili hata kumshinda Jomo? Bure kabisa wewe.

Ahaaa ahaaa, naona mboni yako imeguswa kaka. Nilijua lazima utokee. Hii hali itabidi uizoee tu.
 
Wanakuja kusaini makabidhiano ya miradi wachina waliojenga ili na wao waona wanachagua nini watakacho
 
Ujio wa kirusi kipya cha COVID-20 na sharti la lazima kupata chanjo. Ujio wa Waziri wa Mambo ya Nje wa China ni lazima uje na sharti la chanjo, ili tuweze kusaidika na kile kichekesho cha masharti nafuu ya mikopo na hamasa ya uwekezaji.

We needed some, it's time to take some. Beberu ni beberu, awe wa Magharibi ama Mashariki, lengo lao ni moja kwa kuwa hawana uadui kuhusu maslahi yao ya kudumu na ya pamoja ktk nyanja za kiuchumi.


Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
SGR on the move.

Mchina Domo la Mamba.

Ukishakosana na Mzungu, unakuwa huna alternative yeye anakuja na terms zake mezani.

Kwisha kazi. Hakuna ujanja tena
SGR on the move.

Mchina Domo la Mamba.

Ukishakosana na Mzungu, unakuwa huna alternative yeye anakuja na terms zake mezani.

Kwisha kazi. Hakuna ujanja tena
Leo ndugu yangu umeongea kitu cha maana na akili sana kumbe wakati mwingine huwa unajielewa
 
Ahaaa ahaaa, naona mboni yako imeguswa kaka. Nilijua lazima utokee. Hii hali itabidi uizoee tu.
Ukweli ni kwamba sina 'apology' juu ya hilo. Na hasa inapohusu watu wa huko wanapojidhani wao ni bora au ni nafuu kuliko wengine.
 
Ukweli ni kwamba sina 'apology' juu ya hilo. Na hasa inapohusu watu wa huko wanapojidhani wao ni bora au ni nafuu kuliko wengine.
Ahaaa ahaaa, sina neno naheshimu unachoamini lakini habari ndiyo hiyo.
 
Jicho la tatu linaniambia haya:

Ile simu imeanza kufanyiwa kazi.

SGR hiyo kwa wachina

Bandari ya Bagamoyo nayo iko mbioni, na kadhalika.

JK atakuwa anechaka tu huko aliko na kujisemea kiko wapi sasa!

Baada ya Mungu, ni muda- imani yangu.

Show me yours and I might just show you mine!
Kama kambi ile ikiwashwa basi nao waje na rebuttal yao. Counter slit eyed monster
 
Mwisho wa siku atatununua kama mitumba

Tuombe Mungu kwenye hayo majadiliano ya mikataba, wale waliohusika na majadiliano kuhusu makinikia wasihusishwe ama sivyo tutaiashia kupiga bao tena kama walivyotubadilishia kutojenga SMELTER nchini!!!
 
Simu ya Rais wa China kwa Rais Magufuli na sasa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo zina lengo moja: Kuwatoa katika Mahubusu za Tanzania, Viongozi Waandamizi zaidi ya 10 ambao wamekamatwa kwa kosa la kutakatisha fedha kwa kuitumia Benki ya Kichina, China Commercial Bank, CCB, ambayo imefungiwa kufanya kazi na Benki Kuu ya Tanzania, tangia Novemba 2020.
Habari zilizopo kwenye Vyombo vya Habari vya Kimataifa zinasema kwamba, Ukaguzi mahususi uliofanywa na BOT katika Benki hiyo ya Kichina ulikuta Vitabu vya Uhasibu vinasema kuwa 'mtaji' wa Benki hiyo ya Kichina ni TShs 20 bilioni na Yuan 2 bilioni.
Lakini 'physically' zilikutwa TShs. 250 bilioni na Yuan 20 bilioni ndani ya 'Safe' ya Benki hiyo.
Benki Kuu ya Tanzania iliwatia mbaroni Viongozi wakuu watano wa CCB, pamoja na Viongozi wengine watano wa Kampuni za Ujenzi za Kichina zinazofanya kazi nchini zenye akaunti 'tata' katika Benki hiyo.
Hali kadhakika, Benki Kuu ya Tanzania ilishangaa kukuta hakuna Mfanyakazi hata mmoja, Mtanzania, katika Benki hiyo. Wafanyakazi wote walikuwa Wachina, ili siri ya 'utakatishaji' fedha isitoke nje.
Jitihada za kuwatoa katika Mahubusu, Wachina hao zimekuwa ngumu na sasa Wakuu wa Kampuni hizo huko China wanakuja Nchini wakiambatana na Waziri wa Mambo ya Nje kuwaombea watoke katika Jela wanakoshikiliwa.
Sintashangaa kumuona DDP Biswalo Mganga akiwa kwenye ujumbe wa "mazungumzo" na baadhi ya Wajumbe wa 'msafara huo mzito' kutoka China.
TShs. 250 bilioni na Yuan 20 bilioni zilizokamatwa kwa utakatishaji ni pesa nyingi sana.
Ongezea Wachina viongozi 10 mahabusu.
Kuwagomboa, China inabidi ijikune kisawasawa.
 
Watasaini mikataba kumi na ngapi hawa jamaa ni bora tujulishwe tu aidha iwekwe wazi
 
Nilikuwa nawaza kwa sauti ile Project umeme tumelipa 1.25Tril out of 7 .....heeeee nikaona mbona safari ndefu kwa TRA base hii hii Hanna kitu !! Njoo SGR aahh nikaona huruma kwa bwana mkubwa kuwa sisi donor country na tunajenga kwa pesa za ndani ......nawaona wachina wanacheka kiko wapi mlikataa loan 9T from ecim China bank sasa mnarudi kivingine ngoma imebuma !! Beberu anacheeka anatuangalia tuuuu!!!! Muda ni mwalim mzuri sanaaaa
 
Yaani Waziri huyo husika anakuja kutujuza kuhusu Madeni yao wanayotudai na kuhakiki Rasilimali wanazochuma nchini mnasema ni Wageni wetu?
 
Kazi ya wapinzani Kwa sasa, ni kuomba kusiwepo hata wageni wa kuja nchini kwetu,

Na hata wageni wakitokea, basi watajidai kufahamu kila kilichowaleta wageni hao, mara hoo, sijui bandari ya Bwagamoyo, sjiunini....
Ahaaa ahaaa, nimecheka kwa nguvu, eti wapinzani hawataki wageni. Ni kipi wapinzani wanazuia kwa hao wageni. Nakumbuka ile mkutano wa SADC ulivyoandaliwa na propaganda na mikwara kibao. Mpaka Makonda akatoa amri mtu ambaye hajaoga asiingie mjini. Mara pap likazuka gonjwa la corona, mwenyekiti wa SADC akawa Chato hataki kukutana na wakuu wenzake wa nchi za SADC, wajadili namna ya kupambana na Corona! Kwa mtu asiyeijua serikali hii anaweza kudhani ni ugeni wa ajabu, kumbe propaganda tu ndio zinaikuza hiyo safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…