Huwezi kuelewa.So analala fofofo kwa hisani ya mchina?
Kama hawahoji chaguzi za kihuni hao sio mabeberu. Mabeberu ni wale tu wanaohoji utawala bora na demokrasia.Hivi Wachina siyo mabeberu???
Nauliza tu.
Za-kuambiwa changanya na zako. Kuvumbua dunia kama ni ujasiri sawa, lakini JPM hana sababu ya kufanya hizo safari. Haogopwi mtu. Mwenye shida mguu njiani kwenda dukani.Mwenzake Jakaya Kikwete alikuwa haogopi ziara za nje na akafika mpaka Beijing
Mzee wa majungu soma hapa: Chinese firms involved in money laundering racket face the music in TanzaniaJicho la tatu linaniambia haya:
Ile simu imeanza kufanyiwa kazi.
SGR hiyo kwa wachina
Bandari ya Bagamoyo nayo iko mbioni, na kadhalika.
JK atakuwa anechaka tu huko aliko na kujisemea, "kiko wapi sasa"
Baada ya Mungu, ni muda- imani yangu.
Tanzania tumeanza na 'lower middle income' Kenya ni 'upper middle income' cheki. Tena wao wako hapo zamani. Kama huwapendi hilo haliwezi kubadilisha ukweli. Kufa na mfundo wako!Uliisikia wapi hii mkuu?
Basi ujue ulidanganywa. Hawapo "Uchumi wa kati Juu"; huenda unawapamba tu wafurahi, maana hupenda sana sifa hao jamaa.
Kuna mtu amewahi kufanya ushoga na china akatomboa?Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi.
Chanzo: Eatv habari!
Maendeleo hayana vyama!
Lower middle income ni dhoofu Hali hawamudu milo 3 sababu ya kusomeshwa nambaTanzania tumeanza na 'lower middle income' Kenya ni 'upper middle income' cheki. Tena wao wako hapo zamani. Kama huwapendi hilo haliwezi kubadilisha ukweli. Kufa na mfundo wako!
Wachina siyo mabeberu ni MavulataSi mlikuwa mnawaita Mabeberu hawa, kulikoni muwe na urafiki nao!.
Sasa hili kweli nalo tuliweke hapa kama 'ubishi'?Tanzania tumeanza na 'lower middle income' Kenya ni 'upper middle income' cheki. Tena wao wako hapo zamani. Kama huwapendi hilo haliwezi kubadilisha ukweli. Kufa na mfundo wako!
Siyo kama Mungu bado yupo hai...Just wait and see...Hii ngoma hamuijui wala hamuielewi...Mzungu na mchina wote ni viumbe...I still have stake to this and I know every detail about this...Just give it time...Something very beautiful coming into being...SGR on the move.
Mchina Domo la Mamba.
Ukishakosana na Mzungu, unakuwa huna alternative yeye anakuja na terms zake mezani.
Kwisha kazi. Hakuna ujanja tena
Thanking God for this...Its like a dream but happening...Come on those who know their God shall mount like eagle...The Point: Tanzania's unique relationship with China
30 Jun 2019
The first ever China-Africa Economic and Trade Expo opened in Changsha, capital of Central China's Hunan Province, on Thursday. How can local governments and businesses integrate into the China-Africa development plan? And how is the expo expected to enhance Africa's rapid industrialization and facilitating China's continued economic globalization? Guest: Prof. Palamagamba Kabudi, Tanzania's Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation
Source : CTGN
Wachina Tz si wageni tena Tz pashakuwa kwao, kila kona ni mchina na ndie anaelinda maslahi ya Tz kimataifa, Mmarekani akiitaja Tz vibaya jioni yake wachina ndio wanaojibuProfesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi.
Chanzo: Eatv habari!
Maendeleo hayana vyama!