Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

Jicho la tatu linaniambia haya:

Ile simu imeanza kufanyiwa kazi.

SGR hiyo kwa wachina

Bandari ya Bagamoyo nayo iko mbioni, na kadhalika.

JK atakuwa anechaka tu huko aliko na kujisemea kiko wapi sasa!

Baada ya Mungu, ni muda- imani yangu.
Hata kama bagamoyo bandari ipo sio kwa masharti yale. Nahisi tunaweza pata dili poa kujengwa sgr vipande vilivyosalia.
 
Eti anakuja na mkataba wa urafiki aliosaini Mwalimu Nyerere, so what?
 
Jicho la tatu linaniambia haya:

Ile simu imeanza kufanyiwa kazi.

SGR hiyo kwa wachina

Bandari ya Bagamoyo nayo iko mbioni, na kadhalika.

JK atakuwa anechaka tu huko aliko na kujisemea kiko wapi sasa!

Baada ya Mungu, ni muda- imani yangu.
Jk ni CCM ni member wa NEC kama magu, huenda walikaa chini pamoja wakapanga na kupangua, nyumbu una baki hapo na ndoto za alinacha.
Mnachekeshaga sana kushadadia ya ccm ilhali hawakwaruzani wala hakuna covid 19 kama kwenu.
Nyie niwapeni pole tu
 
Jk ni CCM ni member wa NEC kama magu, huenda walikaa chini pamoja wakapanga na kupangua, nyumbu una baki hapo na ndoto za alinacha.
Mnachekeshaga sana kushadadia ya ccm ilhali hawakwaruzani wala hakuna covid 19 kama kwenu.
Nyie niwapeni pole tu
Nyumbu wako Lumumba wanaoingia mikataba kwa akili ya nyumbu wanaovuka mto Mara.
 
Wanachofanya China ni kui-suffocate uchumi wa nchi ya Tanzania huku wakitupooza na misaada na mikopo yenye jina la masharti nafuu ambayo ukiipiga tochi hivi ni ya kutufukarisha nyakati na nyakati zijazo labda tutakuwa na wachumi na wasomi siku za mbeleni watakaosema Hilo ya kwamba undugu na wachina sio kwa manufaa yetu Bali uangamivu wa kiuchumi wa taratibu lakini wa hakika Sana.
 
Chonde chonde msije kuuza nchi kwa wachina, halafu jambo ambalo huenda hamlijui wachina wanafanya jitihada za kuhamishia makazi yao Afrika kutokana na population yao kuwa kubwa, hivyo kwa kujirahisisha huku kwa wachina tusishangae siku tukiamka mitaa yote imetapakaa wachina na tayari wameshakamata rasilimali zote muhimu ikiwemo ardhi.
 
Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi.

Chanzo: Eatv habari!

Maendeleo hayana vyama!
Mawaziri wa Mambo ya Njee ni kazi yao kuzuru nchi marafiki, na ni jambo la kawaida sana, iweje leo liwe UGENI MKUBWA. Kabudi bora ungesema Mawaziri wa Mambo ya Njee wa China, anatuletea UKOMBOZI wa China kwenye Miradi ambayo tumepata shida kuyamalizia.
 
Mawaziri wa Mambo ya Njee ni kazi yao kuzuru nchi marafiki, na ni jambo la kawaida sana, iweje leo liwe UGENI MKUBWA. Kabudi bora ungesema Mawaziri wa Mambo ya Njee wa China, anatuletea UKOMBOZI wa China kwenye Miradi ambayo tumepata shida kuyamalizia.
Nimekuelewa bwashee!
 
We unyamaze tu hakuna lolote la maana, ni sawa na mpiga ramli tu. Waziri wa mambo ya nje mwenyewe anakuja rasmi kumwona mwanaume wa shoka nyumbani kwake Chato, wewe unabwabwaja tu. Tanzania is better now under the leadership of JPM.

FYI Xi Jinping anatembelea Tanzania wakati wowote baada ya ziara hiyo. Ni maandalizi tu kwa sababu China na Tanzania ni dam dam, whether you like it or not. China hata siku moja hawawezi kuwasahau Watanzania hasa walivyowapigania kwenye UN enzi za baba wa taifa JKN.

Mwenzake Jakaya Kikwete alikuwa haogopi ziara za nje na akafika mpaka Beijing

18 Feb 2015
ZIARA YA KIKAZI YA JAKAYA KIKWETE

RAIS Xi JIPING AMKIMKARIBISHA IKULU YA CHINA RAIS JAKAYA KIKWETE 24 OCT 2014

Katika ziara hiyo ujumbe wa Jakaya Kikwete ulisheheni nguli wa fani kibao, walikuwemo Abdulrahman Kinana, Salim Ahmed Salim waziri mkuu mstaafu aliyepata kuwa balozi nchini China na Umoja wa Mataifa New York, Bernard Membe waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Muhongo waziri wa Nishati, Jenerali Mirisho Sarakikya CDF wa kwanza wa TPDF, Meja Jenerali Shimbo, Mbunge Zungu mwenyekiti wa kamati ya Bunge Mahusiano ya Nje na mbunge wa kutoka chama cha upinzani CUF.

Utaona Jakaya Kikwete ziara yake China mwaka 2014 ilikuwa imekaa kimkakati ki-Geopolitics kufuatana na uzito wa CV za wajumbe alioongozana nao nikizisoma google ktk nyaja za diplomasia, usafiri wa reli, usalama na ulinzi, Nishati n.k ili ziara iwe na mguso pia mazungumzo yaache gumzo lililoongelewa kwa miaka kadha nchi China juu ya umuhimu wa Tanzania.

..............................................................................

Tukija ziara hii aliyoiandaa Palamagamba Kabudi baada ya kumualika waziri Wang Yi , sioni mkakati wowote kuifanya Tanzania inufaike bali wamejitoa kafara tu maana ktk mkutano wa kutangaza mwaliko wa Palamagamba Kabudi kwa Wang Yi inaonesha hawajajipanga na wanaonesha Tanzania imejiweka zaidi kupokea "hisani" badala ya kuonesha "wadau wa pande mbili " watafaidika vipi kupitia ziara hii.

Yetu macho tutafuatilia Wang Yi akiwasili Dar es Salaam na kufika Chato nini kitazungumzwa na lipi lilabaki gumzo kuhusu alichoita "Ugeni Mzito" toka China.
 
Swala la kijiuliza hapa wanakuja kufanya kipi kipya na je wataruhusiwa kuvaa barakoa ili kujikinga na corona sugu toka kwa kabooud
 

December 2020

Beijing, China

Wang Yi Makes Four-Point Proposals for Helping Africa Tide Over Difficulties​



Wang Yi, a special envoy of Chinese President Xi Jinping, Friday put forward four-point proposals to help Africa pull through difficulties as COVID-19 pandemic deeply affects the politics and economic and social development of African countries.

Wang made the remarks at a high-level meeting on cooperation between the United Nations (UN) and the African Union (AU), which was initiated by South Africa, the rotating presidency of the UN Security Council in December.

The COVID-19 pandemic has exacerbated global crisis, profoundly affected the politics and economic and social development of African countries, and Africa's peace and security face a series of new challenges, said Wang, Chinese state councilor and foreign minister, at the meeting held via video link.

The UN should actively take measures to help Africa tide over difficulties, Wang said.

In the four-point proposals, Wang stressed solidarity in fighting the pandemic, and support for the African people to build a line of defense for health and safety, build a peaceful and stable homeland, and open up a vision of common prosperity and share the fruits of global governance.

He said China will continue to provide strong support for the African people to embrace peace, help African countries catch the train of modernization, and continue to speak up for African countries on the international stage.

"China is willing to work hand in hand with Africa to build a closer China-Africa community with a shared future," Wang said. Enditem
Copyright © 2000-2020 XINHUANET.com All rights reserved.
Source : Xinhua
 

22 Dec 2017
Tanzania's Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation has been in China. CGTN's Dialogue host Yang Rui caught up with Minister Augustine Mahiga, and discussed China's political system -- and it's growing presence in Africa. Take a look.
Source : CGTN
 

The Point: Tanzania's unique relationship with China


30 Jun 2019
The first ever China-Africa Economic and Trade Expo opened in Changsha, capital of Central China's Hunan Province, on Thursday. How can local governments and businesses integrate into the China-Africa development plan? And how is the expo expected to enhance Africa's rapid industrialization and facilitating China's continued economic globalization? Guest: Prof. Palamagamba Kabudi, Tanzania's Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation
Source : CTGN
 

Exclusive interview with Dr. Salim Ahmed Salim, Tanzania's former prime minister


17 May 2018
More than 2,000 kilometers-long, the Tazara railway built in the 1960s by Chinese, Tanzanians and Zambians, has crafted a decades-strong China-Africa bond. What does the Tazara railway mean to the spirit of the China-Africa bond today? What can we learn about China-Africa relations from decades of history? And how do we strengthen the bonds inherited from our forebears?
Source: CGTN
 
Back
Top Bottom