Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

Ni nani huyu jamaa uliyemtaja mara kadhaa ktk comment yako yenye ushauri murua kwa majina haya Mh. Hammed Salimu Hammed

Ni Mzanzibari, baada ya Muungano aliwahi kuwa Balozi wetu Nchini Misri akiwa na umri wa miaka 24, baadae akaja akateiliwa kuwa naibu wa katibu mkuu wa umoja wa Mataifa, nadhani Bwana Uthant kama nakumbuka vizuri.

Mataifa mengi yalimukubali sana Hammed - yeye ndiye aliweka shinikizo kubwa Umoja wa Mataifa kwa Uchina kukubalika kurudushiwa u-membership wa Umoja wa Mataifa uliyo sitishwa mwaka 1949 kutokana na shinikizo la USA, tuliambiwa kwamba baada ya Uchina kukubaliwa Umoja wa Mataifa kutokana na shinikizo la Hammed na wenzake, nasikia siku hiyo Hammed alisakata dansi ndani ya ukumbi wa Umoja wa Mataifa akijipongeza, this goes to show how Hammed was emotionally attached kwa Taifa la Uchina, tangu siku hiyo Uchina ilimchukulia Hammed na Tanzania kuwa marafiki wa kweli, na kusema kweli China inamuheshimu sana Hammed, kama Serikali yetu ingemtumia Hammed kufanya mazungumzo na Serikali ya Uchina kuhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mbona sinto fahamu kuhusu uwekezaji huo ungetatuliwa kidiplomasia na kwa haraka without offending anyone kwa maneno ya kashfa, eti "Wachina wezi"

Harakati za Hammed kuitetea Uchina umoja wa Mataifa ulimgharimu sana alipo pendekezwa na mataifa mengi Duniani kuwania kiti cha Ukatibu mkuu umoja wa Mataifa (UN), Amerika ilitumia kura yake ya trufu kumkataa Hammed,lakini Balozi wa USA katika Umoja wa Mataifa aliomba msamaha kwa kusema yeye binafsi hana tatizo na Hammed alifanya hivyo kutokana na shinikizo la Serikali ya USA kulipiza kisasi.

Hammed aliwahi vile vile kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wakati wa utawala wa Mwl. Nyerere na baadae kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa AU wenye makao makuu huko Addis kwa term mbili - Hammed aliwahi kushauriwa mara mbili na Mwl. Nyerere kwamba agombee kiti cha Urais Tanzania lakini Hammed declined/kataa diplomatically, sina shaka Kambarage alihafiki sababu zake za kukataa pendekezo la kuwania kiti cha Urais - wala tusishangae, tuliwahi kushuhudia kashfa alizo zushiwa Hammend wakati anawania kuteuliwa katika kinyanganyiro cha kiti cha Urais huko Zanzibar. Bottom line is: Tunapo toa ushauri kwa nia njema, mara nyingi huwa tuna angalia vitu kama hivyo, hatukurupuki. Sina shaka nime eleweka - Good day.
 
Chinese Foreign Ministry spokesperson Wang Wenbin has sent New Year greetings to people at home and abroad in 36 different languages, including English, French, Russian,German and Swahili.
 
January 8, 2021
Chato, Geita
Tanzania

"TUNAOMBA MTUSAMEHE MADENI, CHINA ni MATAJIRI" - RAIS MAGUFULI



Ombi hilo la Tanzania kufutiwa deni lilitolewa tena leo, Mbele ya WAZIRI WANG YI wa CHINA.. RAIS wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Mhe. Dkt John Magufuli, amekutana na mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Mhe. Wang Yi, ambaye yupo nchini kwa ziara ya siku mbili. Rais Magufuli pamoja na Waziri Wang Yi wa China wamejadili mambo mbalimbali yanayohusu ushirikiano baina ya nchi hizi kwa ajili ya maendeleo ya mataifa yote mawili.
Source : Global TV online

........................................................

January 8, 2021
Chato, Geita
Tanzania

Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli wa Tanzania amesema anatambua ugumu wa kufuta madeni , kwani China ina masharti magumu yaliyopitiliza, kipengele chao cha mikataba ya kiChina cha Overlord clause

What is the overlord clause?

The overlord clause is an unfair clause, or unbalanced clause, that violates Australia's Consumer Protection Act and contract Law. Section 23 of the Australian Consumer Protection Act states that these provisions shall not enter into force if there are provisions in contract law that are unfair; section 24 of the same law explains in detail the legal definition of injustice, and article 25 illustrates which provisions are considered unfair. Source : To sign a contract in Australia, what to do with the overlord clause
 
14 January 2021

The key geopolitical and security challenges from 2020 that will likely continue far into 2021.

Et tu 2021? Assessing the geopolitical challenges of the coming year


After an unprecedented year 2020 in world affairs, Meia Nouwens speaks with Sarah Raine, IISS Consulting Senior Fellow for Geopolitics and Strategy, and Dr Nigel Gould-Davies, Editor of IISS’ Strategic Survey and Senior Fellow for Russia and Eurasia in this special end-of-year episode.  Researchers from across the IISS contributed their thoughts on the key geopolitical and security challenges from 2020 that will likely continue far into 2021.

Among these, Meia, Sarah and Nigel discuss the continuing decline of multilateralism and the rules-based international order, the challenge of growing extraterritoriality in the Middle East and elsewhere, as well as the future of the US–China rivalry during a Joe Biden presidency.  Despite the difficulties of 2020, both Nigel and Sarah end on some points of optimism that could improve international relations in the coming year.


Source : The International Institute for Strategic Studies IISS
 
Back
Top Bottom