Profesa Kabudi, wananchi wanahitaji katiba mpya zaidi ya unavyodhania. Unajiabisha kudai ipo madhubuti kulinda mipasuko ya kisiasa

Kama ni hivi unafikili Kuna mtu hapa?

Hiki ndio kipimo halisi cha ujinga wa Kabudi. Halafu huyo Kabudi ni mjinga na mtu wa kujipendekeza toka zamani, lakini ilikosekana nafasi sahihi ya kuanika ujinga wake. Alivyokuja dhalimu ndio ujinga wake ukawa hadharani.
 
Hakuna mwananchi wa kawaida anahitaji hilo hitaji la kisiasa, na hata hayo mapungufu yanayodaiwa bado ni mahitaji na vipengele vinavyogusa siasa pekee

Hayo makundi mengine hayana uwezo wa kudai hata mambo ya msingi kwenye sekta zao. Mfano wafanyakazi na wakulima. Hapa nchini mkulima analima mazao yake kwa gharama kubwa, lakini anapangiwa bei na wajanja wanaoshinda maofisini hapa Dar, na kuzunguka na maVX. Wafanyakazi ndio hao hata haifahamiki jumuiya ya wafanyakazi ipo kwa ajili gani.
 
Hi kwamfano tunaingia kwenye mambo ya kufuta wabunge na njaa hii ya watanzania si tuatishia mahakamani kila leo au kwenye chaguzi ndogo kisa tu hiyo nafasi inayosaidia watu kuondoka kwenye umasikini?

Ebu tujenge uchumi kwanza hayo mengine ni sababu ya umasikini na utegemezi wa wati wengi...Siasa imejaa kila kona na usanii mwingi, watu hawataki kufanya kazi wapate haki ya vipato vyao
 
Unaelewa unachangia juu ya suala gani?
 
Mzee wa jalalani anabwabwaja kulinda ugali wake, msameheni bure......ile nyungu ya madagascar hadi leo haijulikani ilipo, matokeo ya utafiti wake wanaujua yeye na mwendazake......
 
Hapa nakubaliana na wewe ninachoshindwa kujua ni hii katiba ya sasa ime justify wapi hao wa ma VX wawapangie wakulima bei? Kama wameshindwa sasa kuishi hii katiba watawezaje kuiishi hiyo mpya?

Nadhani tatizo ni zaidi ya katiba yenyewe...Ipo kwenye maadili na attitudes zetu
 

Hilo la attitude ni moja,lakini katiba hii imetoa nguvu kwa wanasiasa kuwa ndio waamua mambo, na kuset miongozo. Ni rahisi viongozi kufanya kosa lolote na kusiwe na hatua, lakini mkulima au mfanyakazi akidai haki zake za maandamano, viongozi wanatuma vyombo vya dola kuwadhuru. Matokeo yake kutokana na katiba mbovu, mwananchi amekuwa mateka wa kiongozi.
 
Mimi kusema ukweli am alright iwapo tu haya mambo ya watu wachache kutumia nguvu ya wengi kujineemesha yana kwisha...I hate watu kuishi kama miungu watu ama kuwafanya wenzao servernts wao.
 
Mimi kusema ukweli am alright iwapo tu haya mambo ya watu wachache kutumia nguvu ya wengi kujineemesha yana kwisha...I hate watu kuishi kama miungu watu ama kuwafanya wenzao servernts wao.
Kwa katiba hii hiyo hali haondoki.
 
Ogopa sana kitu kilichookotwa jalalani
 
Huyo ni msaka madaraka
 
Nakwambia baada ya ........ sasa bongo zao zimeanza kujaa upya.Washukuru Mungu bila kutoa uamuzi huu wengine wangeshaanza kuokota makopo maana bongo zao zingeshaingia west na south kwenye axis za y na x.
Use brain to think young man.
 
Hakuna mwananchi wa kawaida anahitaji hilo hitaji la kisiasa, na hata hayo mapungufu yanayodaiwa bado ni mahitaji na vipengele vinavyogusa siasa pekee
Mkuu una uhakika kuwa katiba ni hitaji la kisiasa pekee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…