Uchaguzi 2020 Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo

Uchaguzi 2020 Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Mkumbo.jpg

====
Kitila Mkumbo ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ana phd ya Saikolojia, Maters ya Elimu na Applied Psychology, pia ana bachelor ya sayansi katika elimu
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Namuunga Mkono,

Huyu ni msomi mtunduizi,mwerevu na mzalendo kindakindaki.

Ana akili nyingi Kama Tundu Lissu,TOFAUTI yao kubwa ni moja tu....Prof.Mkumbo ni MTULIVU HANA PAPARA NA ASIYE NA Argumentum Ad hominem pale ajengapo hoja.

Kila la heri Prof,amen!
 
Ukimuuliza mipaka ya jimbo la Ubungo anaweza asiijue.
Mwaka huu tutaona wagombea wengi wasiojua lolote kuhusu Jimbo, wagombea wa kulazimishwa mmoja ni Profesa Kabudi mgogo wa Kilosa.

Unapajua alipokuwa anaishi hapa dar es salaam?au ubunge Ina wakazi wa UJIMA wanaoishi jamii na kabila moja?
 
Back
Top Bottom