Uchaguzi 2020 Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo

Uchaguzi 2020 Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo

Arudi akafundishe
HAKUNA mtu anayeonewa Kama mwalimu....yaani abaki na chaki TU...siku akiamua kuingia "field" kufundisha anaambiwa kwake NI nyuma ya UBAO...

Naunga Mkono hoja ya mh.Magufuli kuendelea kuwatumia wasomi,madokta na maprofesa kwani TUMEIONA FAIDA YAKE KIPINDI HIKI...

Kipindi Cha nyuma,wanasiasa "maimuna" walikuwa wanawaogopa Sana WASOMI...

MAGUFULI anaitendea haki PhD.yake ya KUISOTEA na si zile za heshima.
 
Ma
Yaani kwa DK mwigulu alikuwa anaenda kujimaliza sijui nani alimdanganya akagombee jimboni kwa mwigulu nchemba
Majimbo mengi tu...na watanzania HAWANA UBAGUZI popote tu unaweza kugombea.
 
Wana-UBUNGO tunakwenda kuona maendeleo ya kweli. Karibu Professor KM (PhD) trend ni hv mpaka Mbeya (M), Kigoma Mjini, Tarime, Hai, Moshi (M), Kibamba, Bunda na Arusha (M)
 
ITATEGEMEA NIMEAMKAJE SIKU HIYO

#maneno ni mawili tuu kaaa......taaaaa
 
Anataka nafasi ya juu zaidi, akishapata uwaziri, atataka ya juu zaidi. Kama mwanasiasa, nia yake ni kushika nafasi ya uwaziri kisha baadaye Urais.

Vv

Ubaya uko wapi Sasa?!!!

Tatizo lenu ni kunywa faru John huku tumbo tupu😂😂😂
 
Hawa ndo watu mwenyekiti anasema hawariziki na vyeo alivowapa...akiuukosa ubunge asitegemee kupewa kingine
 
Itakuwa kapima mwendo wa Mwigulu akaona huu upepo wa moto bora atafute jimbo lingine
 
HAKUNA mtu anayeonewa Kama mwalimu....yaani abaki na chaki TU...siku akiamua kuingia "field" kufundisha anaambiwa kwake NI nyuma ya UBAO...

Naunga Mkono hoja ya mh.Magufuli kuendelea kuwatumia wasomi,madokta na maprofesa kwani TUMEIONA FAIDA YAKE KIPINDI HIKI...

Kipindi Cha nyuma,wanasiasa "maimuna" walikuwa wanawaogopa Sana WASOMI...

MAGUFULI anaitendea haki PhD.yake ya KUISOTEA na si zile za heshima.
Aiseeee!!!
Vioja haviishii huku JF.
Pole sana.
 
Ukimuuliza mipaka ya jimbo la Ubungo anaweza asiijue.
Mwaka huu tutaona wagombea wengi wasiojua lolote kuhusu Jimbo, wagombea wa kulazimishwa mmoja ni Profesa Kabudi mgogo wa Kilosa.
Tuko kwenye zama za utapeli mbaya sana wa kisiasa. Upole na ujinga wa watanzania ndiyo unaleta yote haya. Mtu anapangiwa jimbo la kugombea, na hata kama hakubaliki dola inalazimisha ashinde. Bunge lijalo litakuwa linaimba nyimbo za kumsifu na kumtukuza mungu mtu.
 
Back
Top Bottom