Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
in magufuli voice, haiwezekani IGP ukagombee ubunge ntakukata mapema, tatizo la vijana hawaridhiki umepewa cheo Fulani tosheka nacho...haina tofaut na katibu mkuu
Ukatibu mkuu dhamana,ubunge dhamana...
Kwani umeskia prof.mkumbo amekurupuka kwa kuufanya ukatibu wake mkuu hatimiliki?!!
By da way kwa wasomi wanaojitambua km hao ambao huko nyuma mfumo haukuwa unawateua Sana km sasa,wala HAWAJAJENGA KASUMBA YA VYEO...waliishaizoea ile Hali yao ya huko nyuma....
Ni bahati TU amepatikana mtu msomi mwenye maono ya KUWATEUA,mtu msomi ambaye labda ATAKAYEMFUATA hata akiwa mzalendo km JPM,hwenda akaturudisha kule "tulikokuzoea ambako wasomi wengi walikuwa nje ya teuzi".