Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wapiga kura wa ubungo sio wasukuma eti.
Mfikishieni salam zetu
Mfikishieni salam zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamaa hanayo maiti TU...Mwenye Nchi kasema wasiwe na tamaa. Mbona hawasikii?
Sasa agombee Nani ubunge?!!! Nafasi aliyoiacha pale wizaran itajazwa na akina nyinyi,SI tunalalamika HAKUNA ajira?!!Mkuu alisema waridhike na nafasi zao, hata hawasikii.
Weye unaridhika na ulipo?!!Haridhiki na nafasi aliyonayo🙄🙄
Na kubenea?!!!😂😂😂ubungo anapigwa mwereka asubuhi na mapema
Mkulu wao kajinyakulia tiketi yake ya kuingia Magogoni/Chamwino na hataki mwingine yeyote asigelee hiyo fursa.Ndiyo maana wameshapanga na matokeo mapema kabisa.ccm bana wanagawana majimbo utafikiri ni mali yao... ngoja washangazwe mwaka huu.