Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Tayari jimbo moja limesharudi CCM.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi
Yohana usiingilie uhuru wa mtu kushiriki katika masuala yanayohusu jamii kama uchaguzi n.k. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 21 ya katiba ya JMT.Huyu hajaridhika na ukatibu mkuu?!
Ngoja tuone!
Mwenyekiti alishatoa angalizo lakini!Yohana usiingilie uhuru wa mtu kushiriki katika masuala yanayohusu jamii kama uchaguzi n.k. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 21 ya katiba ya JMT.
Amefanya vizuri kukimbia maana asingemueza MWIGURU MCHEMBA jabali na bingwa wa mikakatiKatibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Mbona mzee baba (jiwe) hakuridhika na uwaziri!!!!?
Namuunga Mkono,Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Jana Katibu mkuu alitoa tamko muanze kujipitishapitisha. Japokuwa mambo bado hayajaanza. Kwa hiyo anajipitishapitisha tu.Mwenyekiti alishatoa angalizo lakini!
Ukimuuliza mipaka ya jimbo la Ubungo anaweza asiijue.
Mwaka huu tutaona wagombea wengi wasiojua lolote kuhusu Jimbo, wagombea wa kulazimishwa mmoja ni Profesa Kabudi mgogo wa Kilosa.
Kuchora mawe?Amefanya vizuri kukimbia maana asingemueza MWIGURU MCHEMBA jabali na bingwa wa mikakati
Ana utaka Uwaziri
Yaani kwa DK mwigulu alikuwa anaenda kujimaliza sijui nani alimdanganya akagombee jimboni kwa mwigulu nchembaAmefanya vizuri kukimbia maana asingemueza MWIGURU MCHEMBA jabali na bingwa wa mikakati