Uchaguzi 2020 Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo

[QUOrTE="Kambi ya Fisi, post: 35882274, member: 475260"]
Wapiga kura wa ubungo sio wasukuma eti.

Mfikishieni salam zetu
[/QUOTE]
Ni wachaga ee?!!
 
ccm bana wanagawana majimbo utafikiri ni mali yao... ngoja washangazwe mwaka huu.
Mkulu wao kajinyakulia tiketi yake ya kuingia Magogoni/Chamwino na hataki mwingine yeyote asigelee hiyo fursa.Ndiyo maana wameshapanga na matokeo mapema kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…