johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mmebana mmeachiaaa....haahahaaMganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hatimaye sayansi yashinda!Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Imebidi nicheke pia🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Acheni basi kwaiyo zile mashine tulizozifunga muhimbili tueze kuzingua etyMganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
".....hadi pale serikali itakapojiridhisha kama chanjo zitumike ama la"Washalegea??
Msiwape tena wanasiasa nafasi kuingilia fani yenu. A good step towards combating corona virusMganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kabisa. Hii awamu mtu unaudhika na kukasirika kweli kweli lakini mara unajikuta unacheka.Imebidi nicheke pia
Ikija kujiridhisha baada ya mwaka mmoja ni watu wangapi watakua wameshaangamia na hili gonjwa?Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Acheni basi kwaiyo zile mashine tulizozifunga muhimbili tueze kuzingua ety
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ni miongoni mean habari njema,kama ni taarifa halisi.Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Chadema hamnaga jema!Hiyo kamati ya wataalamu ni wapuuzi,wanachunguza chanjo ya wanaume wenzao badala ya kukaa chini na kutengeneza ya kwao.
Bwashee kama hao wataalam hawana imani basi watengeneze ya kwao tuitumie,wanajiita wataalam wakati hata kutengeneza dawa tu ya kuua mbu hawawezi.....Upuuzi mtupu ,wao mabeberu wenye hightek wanachanjwa sisi ni nani tutilie shaka? Kama kutuua basi tuache kutumia chanjo nyingine na ARVs.Chadema hamnaga jema!