#COVID19 Profesa Makubi: Serikali imeunda Kamati ya wataalamu kufuatilia masuala ya Chanjo ya Corona

Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.

Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Tushukuru walisubiri miezi kadhaa kabla ya kuanza. Haraka haraka haina .....
 
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.

Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Wanatafuta namna ya kuzipokea hizo chanjo
 
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.

Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
FB_IMG_1615482240839.jpg
 
Seriali ikubali ikatae,sitokaa nichome chanjo labda without my knowledge au kwa kushikwa kwa nguvu.
 
Bwashee kama hao wataalam hawana imani basi watengeneze ya kwao tuitumie,wanajiita wataalam wakati hata kutengeneza dawa tu ya kuua mbu hawawezi.....Upuuzi mtupu ,wao mabeberu wenye hightek wanachanjwa sisi ni nani tutilie shaka? Kama kutuua basi tuache kutumia chanjo nyingine na ARVs.
Hii chanjo siyo kabisa! Kuna nchi nyingi tu za ulaya wamejikuta wanalazimisha kusitisha chanjo hizi. Watu wanakufa!! Siyo utani. Tujipe mwaka tu ili kufika 2022 muda kama huu kitu litakuwa kimeeleweka.
 
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.

Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
kamwe politics haitoweza kuishinda siasa.
huu ugonjwa ulitumiwa sana na wanasiasa kunipatia vyeo na madaraka.. wakafanya uonekane ni ugonjwa rahis..

lakin sasa ime backfire baada ya kuona hata jamii za karibu hazituungi mkono.

next kwenye science siasa ziwekwe pembeni. hiv ni vitu viwili tofauti.
ni suala la muda tu tutapokea chanjo
 
Hii chanjo siyo kabisa! Kuna nchi nyingi tu za ulaya wamejikuta wanalazimisha kusitisha chanjo hizi. Watu wanakufa!! Siyo utani. Tujipe mwaka tu ili kufika 2022 muda kama huu kitu litakuwa kimeeleweka.
nchi zipi hizo? idadi ya wtu wangapi wamekufa kutokana na kupewa chanjo?
leta statistics zina support madai yako
 
Back
Top Bottom