Nadhani wewe sio mfuatiliaji wa taarifa, hakuna kigeni hapo. Msimamo wa Serikali ilikuwa kujiridhisha ili kuamua chanjo au la, sasa mambo ya kulegea yanatoka wapi tena?
Jitahidini kuwa wafuatiliaji.
Muongo wewe!! Kuna kitu hutangulia kisha kingine hufuata. Hii wanayosema sasa hivi ndio ilipaswa kutangulia badala ya “machanjo yatatuletea magonjwa mengine”. Sayansi inataka utafiti kwanza halafu uamuzi!
Kama hatukufanya utafiti wa kirusi chenyewe - hatuna uwezo wa kuchunguza chanjo wala dawa yake!! Tuache utani!