#COVID19 Profesa Makubi: Serikali imeunda Kamati ya wataalamu kufuatilia masuala ya Chanjo ya Corona

Tushukuru walisubiri miezi kadhaa kabla ya kuanza. Haraka haraka haina .....
 
Wanatafuta namna ya kuzipokea hizo chanjo
 
 
Seriali ikubali ikatae,sitokaa nichome chanjo labda without my knowledge au kwa kushikwa kwa nguvu.
 
Habari njema sana hii Serikali sikivu ijali Wazee na watu Spana mkononi ndio wanaoangamia
 
Hii chanjo siyo kabisa! Kuna nchi nyingi tu za ulaya wamejikuta wanalazimisha kusitisha chanjo hizi. Watu wanakufa!! Siyo utani. Tujipe mwaka tu ili kufika 2022 muda kama huu kitu litakuwa kimeeleweka.
 
kamwe politics haitoweza kuishinda siasa.
huu ugonjwa ulitumiwa sana na wanasiasa kunipatia vyeo na madaraka.. wakafanya uonekane ni ugonjwa rahis..

lakin sasa ime backfire baada ya kuona hata jamii za karibu hazituungi mkono.

next kwenye science siasa ziwekwe pembeni. hiv ni vitu viwili tofauti.
ni suala la muda tu tutapokea chanjo
 
Hii chanjo siyo kabisa! Kuna nchi nyingi tu za ulaya wamejikuta wanalazimisha kusitisha chanjo hizi. Watu wanakufa!! Siyo utani. Tujipe mwaka tu ili kufika 2022 muda kama huu kitu litakuwa kimeeleweka.
nchi zipi hizo? idadi ya wtu wangapi wamekufa kutokana na kupewa chanjo?
leta statistics zina support madai yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…