Nadhani wewe sio mfuatiliaji wa taarifa, hakuna kigeni hapo. Msimamo wa Serikali ilikuwa kujiridhisha ili kuamua chanjo au la, sasa mambo ya kulegea yanatoka wapi tena?
Jitahidini kuwa wafuatiliaji.
Wanachokifanya ni kupoteza lengo tu, kiufupi wameshakubali na haitochukua muda utasikia kamati imejiridhisha chanjo itumike hapa bongo.Ikija kujiridhisha baada ya mwaka mmoja ni watu wangapi watakua wameshaangamia na hili gonjwa?
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Wenye uelewa wao
Ni hiyari yako tuSeriali ikubali ikatae,sitokaa nichome chanjo labda without my knowledge au kwa kushikwa kwa nguvu.
Jidanganye chanjo hatakanyaga ardhi ya bongo.Kwa jirani tayari kimenuka majibu ya chanjo ni utatanishi.Tuliza na jipe muda mwafa..naona wamelegea sasa.
..utasikia karibuni chanjo inaingizwa nchini.
Mshalegea kwishaaaChadema hamnaga jema!
MshalegeaWanafanya yote!
Sio swala la chadema wala ccm hili ni swala la nchi.Chadema hamnaga jema!
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Mpaka kwanza bomu lipige kunakohusika. Wakati makapuku wanaanguka tulikuwa na lugha nyumu johnthebaptistMganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Popote itakapo anzia lkn mshalegeaMajaribio yataanzia Ufipa!
Mpaka aibu yani.Wanafanya yote!
Jidanganye chanjo hatakanyaga ardhi ya bongo.Kwa jirani tayari kimenuka majibu ya chanjo ni utatanishi.Tuliza na jipe muda mwafa
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Ninachofahamu siyo kuchunguza, ni kufanya validation. Hii huwa inafanywa kwa chanjo zingine, madawa na vitendanishi vinavyoingia nchini kabla ya kuanzia kutumika. Ni utaratibu wa kawaida, swali ni kama tunayo capacity ya kufanya hivyo...! Au tuta outsource kama tunavyofanya kwenye maeneo ambayo hatuna uwezo mayo.Hiyo kamati ya wataalamu ni wapuuzi,wanachunguza chanjo ya wanaume wenzao badala ya kukaa chini na kutengeneza ya kwao.
kamati ndani ya kamati huku iliyo unda kamati kuitaka kamati kukuu kujua nini kwenye tume ya kamati.maneno ya roma msaniiMganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.