#COVID19 Profesa Makubi: Serikali imeunda Kamati ya wataalamu kufuatilia masuala ya Chanjo ya Corona

#COVID19 Profesa Makubi: Serikali imeunda Kamati ya wataalamu kufuatilia masuala ya Chanjo ya Corona

Mnasikizaga na vyombo vya habari vya nje kweli? Wakati nchi kibao wanasitisha hizo chanjo ili zichunguzwe upya unaongea upuuzi so far duniani. Magufuli wa right and better than any president huwezi kimbilia chanjo kabla hujajua madhara yake in long run. Wenzako waliokimbilia sasa wanarudi kuanza utafiti upya na ni izo nchi zilizoendelea so saa nyingine kuliko kufanya maamuzi ya kukurupuka bora kusubiri kwanza usijejikuta unaua watu wengi zaidi kuliko ambavyo corona ingeua

for reference

Huna akili.

Hata kabla ya corona kuna watu walikuwa na hawashauriwi kutumia baadhi ya dawa mfano zenye sulpher.
Ila maana yake sio kwamba hazifai
 
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.

Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Aliyemteua ni ngosha, KM ni ngosha, CMO naye ni ngosha, haya
 
serikali inakula matapishi yake yenyewe, hii ni gia ya kukubali chanjo kwa njia ya kificho!

siku nyingne wajifunze kuwa watulivu, waache kukurupuka!
 
Ha haha hhahaaaaaaaa haaa!!! Cheche che che che che cheeeeee wamebana wameachia!

Mabeberu wananguvu sana! Yaani sisi na Mabeberu ni kama Mzazi na Katoto kake, kanasusa saivi ila mzazi hana pressure anajua badae utaingia tu kwenye 18.
 
Chadema hamnaga jema!
Hapa hoja ni kupita kifua mbele mikono umetanua utadhani unamajipu makwapani halafu hata dk 10 hazijaisha unarudi kichwa chini mikono nyuma.

Sio kila jambo mliweke kisiasa tu! Mmetufanya watanzania wote tuonekane wafuasi Wa kinjikitile Ngwale!
 
Unashangilia wakati huko zinakotoka wanasitisha matumizi baada ya kuanza kuwatoa roho?
Tumieni akiri.basi wakati mnachangia, pia muwe mnafuatilia taarifa za huko nje pia.

Denmark, Austria na kungine wamesitisha kuzichanja.
hizo nchi ulizotaja sio wanaotengeneza chanjo.
ni watumiaji tu.
wanao tengeneza hawajaacha wala hawajasitisha kutumia.

na nchi ulizozitaja ni small portion ya europe.
however si asilimia kubwa ya nchi zili receive hiyo chanjo.
 
Hawaezi kuzuia hiyo chanjo mbona nyingine zinaendelea kwa watoto kila siku huko clinic Pepopunda, Surua, Minyoo, Kichocho, Unyafuzi, Polio, kansa kwa wasichana nk

Kwanza Jonii mwenyewe pamoja na ubishi wote huko aliko lazima wamchanje
 
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.

Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Na hili nalo watapinga...
 
Angetuwekea na wajumbe wa tume isije kuwa ni hawa wanasayansi/wanasiasa.
 
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.

Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Tutaelewana tu. Wewe ni nani upingane na WHO? Jinga lao tu anaweza hilo.
 
Washalegea?
Siku nyingiiii. Hawana huo ubavu mbele ya dunia ya afya chini ya WHO. Hawa wataalamu wa dunia huwa wanatuangalia na kucheka tu. Kwamba watakufa kwa ujinga wao ama la watasalimu amri tu. Ndio maana huwa wanajinyamazia tu wakati hili jamaa katili linapotumia madhabahu kuropoka.
 
Kabisa. Hii awamu mtu unaudhika na kukasirika kweli kweli lakini mara unajikuta unacheka.
Ni kucheka tu. Kama angalau umefika elimu ya Darasa la Saba tu na ulifundishwa na kujifunza vizuri unajua tu kwamba haya ya akina Jiwe ni kujilisha upepo tu mbele ya ukweli wa kisayansi. Sayansi ikisema huyu mtu hana uhai tena ni 99%. Hiyo moja tunaweza kuachia miujiza ya Mungu. Lakini akija mwanasiasa uchwara Jiwe akasema msizike huyu ni mzima kabisa hapo ni porojo tu kama zile za akina Gwajima eti wanafufua wafu kumbe ni misukule yao waliyoifuga iwasaidie kwenye utapeli wao kwa kutumia neno la Mungu.
 
Back
Top Bottom