Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine hukusikia mwangwi wa Bwn. Mkubwa kupitia kwa Waziri wake (mama wa ndimu)?
Nchi ya Denmark imesitisha utoaji wa Chanjo ya Oxford-AstraZeneca kwa muda wa wiki mbili ili kuchunguza ripoti za baadhi ya wagonjwa kupata tatizo la damu kuganda siku chache baada ya kupatiwa chanjo hiyo..Teh teh teh Mataga hamna tofauti na Kasuku,kila mlio mnaenda nao sambamba. Kazi mnayo awamu hii.
Hapo ndo mtajua JPM aliona mbali...VIVA My President...Mungu akulinde uwe na afya njemaNchi ya Denmark imesitisha utoaji wa Chanjo ya Oxford-AstraZeneca kwa muda wa wiki mbili ili kuchunguza ripoti za baadhi ya wagonjwa kupata tatizo la damu kuganda siku chache baada ya kupatiwa chanjo hiyo..
Waziri wa Afya nchini humo amesema wamechukua hatua hiyo ikiwa sehemu ya tahadhari ili kuchunguza endapo kuna madhara zaidi yaliyojitokeza tofauti na la damu kuganda.
Mamlaka ya Afya ya Denmark imesema uamuzi wa kusimamisha chanjo umekuja baada ya mwanamke wa miaka 60 nchini humo kupewa dozi ya AstraZeneca na kupoteza maisha.
Tunaishukuru Serikali kwa busara hiyo.Maana waswahili wanasema"bila utafiti huna haki ya kuzungumza".Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hakika mkuu!Tunaishukuru Serikali kwa busara hiyo.Maana waswahili wanasema"bila utafiti huna haki ya kuzungumza".
Basi tutakupeleka wewe.Utaalamu maana yake nini, hapo ndipo pa kuanzia. Utachunguzaje kitu ambacho wewe hukijui wala hauna utaalamu wa kukitengeneza.
Hizo ni siasa tu zilizotamalaki katika utawala huu. Hakuna uchunguzi hapo ni watu kwenda kula pesa tu ni kama tu ile tume ya akina Osoro.
Hakuna siku serikali ilisema hatutaki chanjo, serikali ilisema hatutakuwa sehemu ya majaribio ya chanjo.
Tume imeundwa ikipitisha kuwa chanjo inafaa tutachanjwa boss. Si lazima kubishana na utawala kwenye kila jambo.Hatua ya majaribio ilishapita na sasa watu wanachanjwa. Hii “hatuwezi kuwa majaribio” ni sababu ya kukataa chanjo! Read between the line, mkuu! Sio lazima sababu ya kukataa kitu iwe na mantiki au uhalali - inapaswa kusemwa tu. Ndio kama hivi. Kwali walipokataa barakoa si walisema zina vijidudu? Ulisikia kuwa wamefanya utafiti na kugundua hilo??
Hakika....tena wapuuzi mno.....tuwapime kichina kwanza......Hiyo kamati ya wataalamu ni wapuuzi,wanachunguza chanjo ya wanaume wenzao badala ya kukaa chini na kutengeneza ya kwao.
Katika watu milioni tano waliochanjwa na hii chanjo kesi za thromboembolic ni 30.Hapo ndo mtajua JPM aliona mbali...VIVA My President...Mungu akulinde uwe na afya
Wewe ndo huna Akili kama nchi wanakataza mpaka wafanyie uchunguzi na nimeweka source mimi na wewe nani hana akili? Sio kila kitu cha kushabikiaHuna akili.
Hata kabla ya corona kuna watu walikuwa na hawashauriwi kutumia baadhi ya dawa mfano zenye sulpher.
Ila maana yake sio kwamba hazifai
You people are very sensitive to facts.Basi tutakupeleka wewe.
We ni boyaWewe ndo huna Akili kama nchi wanakataza mpaka wafanyie uchunguzi na nimeweka source mimi na wewe nani hana akili? Sio kila kitu cha kushabikia